Wananikera sanaHahaaaa. Sema wewe mumy. Anavyoponda utadhania katika wanaomzunguka wote ni wasafi.
Mmh.Single mother ni sumu kali sana,haijaribiwi ndugu.
Mmh.
Hahahaa. Sina habari hiyo ila kwa wanaonizunguka naona ni wanawake walio bora haswa pale wakipata mwanaume aliye bora.Hujui kuwa single mother ni sumu kali sana.
[emoji39] [emoji39] [emoji39] wewe sema tu unachotaka sema nitajibu
Hahahaa. Sina habari hiyo ila kwa wanaonizunguka naona ni wanawake walio bora haswa pale wakipata mwanaume aliye bora.
Hahahaa. Hivyo kumpa mzigo mwingine na kuacha unaweza na sio kuoa. Mmh.Labda kumzalisha watoto wengine kuliko kuoa malaya asiejitambua.
Mi nazalisha mkuu.na hili ndo jambo la msingi we ukizalishwa jitahidi uishi na huyo baba mtoto.
ili kupunguza mambo yasiyo na ulazima
Hii JF iwe na maisha marefu, umenichekesha sana. Pamoja na kucheka nimeiona mantiki kwenye ujumbe wako.Uko sahihi kabisa mkuu,
Ni bora kuoa asiye na mtoto ila kazitoa za kutosha.
Sijavuta, ndo kwanza nasokota
Hahahaa. Hivyo kumpa mzigo mwingine na kuacha unaweza na sio kuoa. Mmh.
Inabidi ubadilishe mawazo yako Mkuu sababu vizuri vitakupita ujue [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hamna,single mother ni wa kuzaa nao tu na sio kuwaoaUmeonaeee. Usemalo ni kweli kabisa Mkuu.
Hahahaaa. Lol.Kizuri kwa single mother ni kukidhi haja ya mwili(kupunguzia nyege tu).
Tena ni watamu mno ila kuoa hapana.
Mmh. Kwa nini sasa?Hamna,single mother ni wa kuzaa nao tu na sio kuwaoa
Hata ambaye hajazaa anaweza ila aliyezaa ana mazingira rafiki ya kubanjuliwa na mzazi mwenzie. Mara nyingi nimeona wanawake wanapenda sana wanaume waliozaa nao hata kama walishaachana. Wao huona huyo ndo alikuwa wake na wakati mwingine huolewa kwa kulipiza kisasi ila siyo kwamba akili huwa imekubali.Huolewa kuondoa stress. Kwahiyo ikitokea mme mwenza amemtaka ni mrahisi kukubali.Mmh. Mie hata sielewi kwa nini mlio wengi hofu ni kwa aliyemzalisha kwamba wataendelea.
Kwani kwa mwanamke uliyemkuta ameshatumika hawezi kuingia ndoani halafu akawa na mahusiano na jimbo lake la nyuma?
We ni mwanamke huwezi kuelewa hapa,nitafute private nitakuelewesha,sisi wanaume ndo waoaji na ndiyo tunaoelewa ugumu wa kuoa single motherMmh. Kwa nini sasa?
Kuoa single mother bora usioe labda in some very rare casesMimi yana niumizaga.
Unakuta dada mzurii unampenda halaf ana katoto kake kazuri, kanafanana na dingi yake kweli. Kila ukikaona unakumbuka jamaa alipenya aka kafyatua haka [emoji1].
Yataka moyo, nawapongeza wazazi wa kambo woote, Mungu awabariki sana kwa mioyo ya ujasiri