Yupo bora, mwenye mtoto au aliyeshusha engine kama mara saba?
 
Najifunza mengi sana.
Single mother kuachana na mtu wake wa mwanzo ngumu Sana kwa sababu ya mtoto hapo.
 
ngoja limkute bint yake, au dada ake ndo atapata akil
Yeye kasema hataki kuoa mke mwenye mtoto sasa kwa nin mnataka kumlazimisha eti kisa ana Dada yake au binti yake wao yakiwapata Shauri zao ila yeye msimamo wake ni hataki kuoa mdada mwenye mtoto simple and clear
Pia mimi nadhani pigo kubwa kwa sisi wanaume ni kutoheshimiwa yaani ujue kuna mazingira ya wewe kuletewa dhereu lazima uwaze tu.
 
Ukijaribu kufuatilia undani wake si ajabu ukakuta hata yy mama yake ni hivohivo na si ajabu kashawajaza mimba na pengine kuwazalisha watoto mabinti za watu mitaani huko, hajui kama anaweza kuzaa watoto wa kike wakaja kuwa single mamaz,

Ni kujitoa ufahamu sana kututukania mama zetu waliotuzaa ,wakatuhangaikia na leo hii tunafanya kila tunaloliweza kuwawezesha na kuwajwamua na shida za hapa na pale. Mnawasema sema mama zetu kila kukicha oooh single mama ,single mama! Hao watoto kwani ni wao wenyewe walijipachika mimba!?

Ni sisi wenyewe wanaume ndio tunawajaza mimba kisha tunawatelekeza na hata watoto ambao ni damu zetu wenyewe tunawatelekeza refer akina diamond, ommy dimpoz na wengineo. Shame on us!!
 
Mmh. Sasa Mkuu hapo makombo mtoto au mwanamke?
Achana na vitoto hivi ambavyo vinajitoa ufahamu kwa kusahau mama zao waliowazaa kisa eti vimebalehe viko mijini huko vinajifunza kukausha kamasi puani
 
Umeikomaliaa hii siridi kinomaa....

Kwani we unao wangapi!?

Utaolewa tu..ongeza sala...

Siku zote usilo lijua lazima likusumbue Mkuu.

Pole sana aisee sababu sijawahi kuwekaga huu upande uliojiweka leo.

Kuchangia uzi basi ndio mtu ameshakuwa single mother. Mmhh
 
Achana na vitoto hivi ambavyo vinajitoa ufahamu kwa kusahau mama zao waliowazaa kisa eti vimebalehe viko mijini huko vinajifunza kukausha kamasi puani
Hahahaaa. Nshaachana nao rafiki.

Ila inabidi nitoke kwenye huu uzi rafiki aisee sababu kila mmoja anamjudge Hajar kwa anavyojua yeye. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…