Ati nini? Tupunguze huo mchezo? Tutapunguzaje wakati ndio starehe pekee tunayoimudu kwa sasa?[emoji12][emoji12]Ila jamani kufika miaka kama 15 ijayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kwa hiyo kuja kuwa mababa wa kambo mtakuwa mnatuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.
Achana na vitoto hivi ambavyo vinajitoa ufahamu kwa kusahau mama zao waliowazaa kisa eti vimebalehe viko mijini huko vinajifunza kukausha kamasi puani
Unakula kwao?Hahahaaa. Nshaachana nao rafiki.
Ila inabidi nitoke kwenye huu uzi rafiki aisee sababu kila mmoja anamjudge Hajar kwa anavyojua yeye. Lol
Hahahaa. Lol.Unakula kwao?
OKpole Sana mkuu kama unafikir jamii forums kila mtu ni mtoto.
wengine ni Kaka zako humu , na huo ni mtizano wangu sijasema mtu aniunge mkono lah .
Kauli kama hii utakuja kuifuta miaka 30 ijayo pale mabinti zako watakapozalia nyumbani. Ogopa sana ulimi ni kiungo kidogo sana lakini kina simu Kali ambayo inaweza penya mpk kwa wajukuu zako. Be careful. Unless ni mgumba usiseme watoto wa watu angali uko na kizazi.
Acha kudharau mama zetu kama kweli umekuapole Sana mkuu kama unafikir jamii forums kila mtu ni mtoto.
wengine ni Kaka zako humu , na huo ni mtizano wangu sijasema mtu aniunge mkono lah .
Wakishavuta bange zao huko wanakurupuka hovyo hovyoHahahaa. Lol.
Hapana rafiki. Ila naona kama nawakera sana aiseee.
Hahahaa. Lol.
Hapana rafiki. Ila naona kama nawakera sana aiseee.
Hahaa. Na kweli aisee sababu sidhani kama kuna mipaka katika kuchangia uzi wowote ule.Wakishavuta bange zao huko wanakurupuka hovyo hovyo
Ni vipi ukioa huyo unaeona ww hajazalishwa kisha akazaa na mwanaume mwingine ukiwa nae ndoani? Kuna watu wanawatokea haya unafikiri wamepanga iwe hivo? Mambo mengine ni vema ukakaa kimya tumkuu nielewe nachomaanisha mtu kupata mimba hilo ni juu yake yeye.. Ila mm sioi mwanamke aliyezalishwa.
watoto wangu kuzalizwa haina uhusiano mimi kuoa mwanamke aliyezalishwa .
Na kuna wengine wanapigwa kutwa mara tatu na hawana hata mimba iliyoharibika.Hahahaa. Nitapinga mpaka kesho Mkuu.
Mtoto sio ushahidi wa kutumika sana bwana sababu kuna visichana unakuta enzi za usichana siku alipojaribu huo mchezo akapata mimba hapo hapo sasa huyo utasema alikuwa mzowefu mwenye hako kamchezo.
Hapana aisee Mkuu.
Hahahaa. Nakotiwa Mkuu hivyo nashindwa kupotezea.
Niki poa sana rafiki, hofu kwa Hajar tuHahaa. Na kweli aisew sababu sidhani kama kuna mipaka katika kuchangia uzi wowote ule.
Mzima lakini weye?
Hahahaa. Nakotiwa Mkuu hivyo nashindwa kupotezea.
Ahsante sana. [emoji120] [emoji120]
Umeonaeeee. Kweli kabisa.Na kuna wengine wanapigwa kutwa mara tatu na hawana hata mimba iliyoharibika.
Hajar hajambo kabisa anamshukuru Mwenyezi Mungu.Niki poa sana rafiki, hofu kwa Hajar tu
Maisha hayana formula haya, muda wwt upepo unabadilika. Sijui watu wanawaza nini hadi kuleta nyuzi za namna hii, unapomsema single mama unamgusa mtoto aliyezaliwa na mama yule ambaye baba yake ( anaweza kuwa mleta mada) kwasababu za kipuuzi tu aliamua kumtelekeza hata mtoto wake mara baada ya kumjaza mimba mwanamke - leo hii anakuja pyeeeeee pyeeeeeee pyeeeeee anataka akaolewe na nani sijui! Shame on us wanaume tunaowazalisha wadada na kuwatelekezaNa kuna wengine wanapigwa kutwa mara tatu na hawana hata mimba iliyoharibika.