Utashangaa hata kijana wa jirani aliyekuwa mtoto wa nje ya ndoa ukalelewa na kukuzwa vyema na baba wa kambo tena mahitaji yote ukayapata tena unakuja kuwananga humu akina mama.
 
Kuna mdada alizalishwa na jamaa akiwa chuo likakataa mimba, yaan mdada ametulia zake ni "wife material" kabsa hana papara kabsa tangu apatwe mkasa ule inaonekana alijifunza sana yaan ningemuoa sema ndio hivyo tena
 
mi nitaoa alie zalishwa kuanzia watoto wa nne na kuendelea
 
Kwa kweli hapana aisee, hahaaa ila nimecheka ulivomjibu
Cheka tu rafiki. Sababu kiukweli eti tunajifungia huko kwa Waziri Mkuu halafu tunadiscuss single mothers lol.

Wacha nibaki na ujinga wangu tu kwa kweli rafiki.
 
Cheka tu rafiki. Sababu kiukweli eti tunajifungia huko kwa Waziri Mkuu halafu tunadiscuss single mothers lol.

Wacha nibaki na ujinga wangu tu kwa kweli rafiki.
Hahaaaa huyo alikuwa na lake tu best, huko msingediscuss mada hii tena, teh
 
Nachokuomba endelea kuomba mungu akupe mke mwema hizo mambo sijui sitaki single mother nataka fresh kabisa acha

Wapo walioamini hivyo ila leo wanalea watoto siyo wao uzazi umewasumbua wamejikuta wanawachia wake zao wakapigishe nje kimya kimya tu, ili kuepuka aibu
 

Only two options now days,aliyezaa nyumbani na aliyetoa mimba(akili kichwani)
 
Mtu wa namna hii either mpotezee au mpe empty quote.
Hahahaaa. Tafuta saizi yako uchambane naye na kupeana naye maneno machafu ila sio kwa Hajar.

Numbisa pita huku rafiki naona kuna mtu ana hasira na Id fake. Lol.
 
Tena naona ni vyema kuoa huyu aliyezaa kuliko ambaye hajazaa lakini sio bikra, maana hujui ametoa mimba ngapi! Yaani kwa maana nyingine msichana aliyepata mimba halafu kaitoa kwa sababu yoyote anayoijua yeye, ni muuaji, na kama hajatubu hiyo roho ya mauti bado yuko nayo hivyo anaweza kuua yeyote tena wakati wowote akitaka.
 
Kweli kabisa usemalo Mkuu. Ila si unajua tena kila mmoja anafanya kile ambacho kinampendeza.
 
Heri kuoa aliyezaa maana walio wengi wasichana siku hizi anakuwa katembea na wanaume wengi halafu wametoa mimba sana. Siku ukimuoa mnakaa hampati mtoto. Fikiria kuoa mwanamke early 20's mwenye Mtoto, na mwingine ana late 20's halafu uajua kabisa huyu ni cha wote. Uwezekano kuzaa kwa hawa wanaojiita socialites ni mdogo, wanakuwa wameshatoa mimba kibao. Ila kama umechunguza kuwa ni mwadiifu , ambaye hajazaa ni bora zaidi, na wako wachache sana . you can count them on your finger tips.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…