Umewatoa wangapi hizo bikra acha uongo. Kama wapo wengi( meaning umewabikiri ndio maana unatuhakikishia wapo- wakaolewe na nani na ushawabikiri?
Mkuu naona umeniquote vibaya ninaposema wapo wengi simaanishi nimewabikiri wengi bali nina uhakika kuwa haujazunguka tanzania nzima hadi ukapata takwimu kuwa hakuna bikra now days.
Ila kutokana na maneno yanayozungumzwa sanaa kitaaani kwenu pamoja na ww kutoka na hao ambao si mabikra ndiyo kumekufanya ww kufikia hitimisho kwamba hakuna mabikira ila wapo.
 
kwahiyo vijana walio oa single mother wafanyeje sasa?
Wasiebdelee kusoma hii thread waachane nayo inaweza kuwa na matokeo hasi kwao.
Nb
Kuna Jirani yangu ni shehe wa msikiti ameoa mke wa pili mjane mwenye watoto saba. Sababu jubwa ni kumuonea huruma yule mama. Binafsi hata kama ningekuwa muislam na ningeruhusiwa kuoa wake 10 nisingeweza hili jambo.
 
Bora hao,wanaume wake unakuwa huwajui hata kama mwanamke alikuwa ana wanaume mia hawezi kukuambia kuliko single mother ambaye alishazaa kabisa na aliyemzalisha unamjua,yaani ukimuona tu mtoto wa single mother unamkumbuka baba ake,kwanza mi naona hata kinyaa
 
Yaani hapo watu wawili mmeoa mwanamke mmoja
 
Yao,exactly
 
Kweli kabisa unageuka kuwa fala,kuoa single mother ni kuoa mke wa mtu afu jamaa anakuchora tu
 
Kwasababu hata mimi napasha kiporo mara kibao tu
 
mkuu nielewe nachomaanisha mtu kupata mimba hilo ni juu yake yeye.. Ila mm sioi mwanamke aliyezalishwa.

watoto wangu kuzalizwa haina uhusiano mimi kuoa mwanamke aliyezalishwa .

Sawa kama huoi them funga mdomo wako kwani kina wengine wanaweza. Watoto wako kwa vyovuote vile watakuuma tu wakizalishwa nyumbani utatamani atokee MTU awaowe. Kitu kama hupendi Kaa kimya ukiomba Mungu akuepushe nalo sio kutangazia ilimwengu kwa sababu hata walimwengu they don't care about ur choice.
 

Mimi sio single ni kwa ndoa zaidi ya miaka ya 35 naongea kutokana na experience we Kijana mdogo hujui maisha tumeona mengi sana kila jua tu unachokipanda Leo utakivuna tu baadae. Be careful na mdomo wako. Vijana niliosoma vyuo miaka hiyo ya wahenga ndio walikuwa wanakandia kina mama na ndio hao Leo binti zao wamezaa nyumbani. So be careful unless huelewi maana ya dunia ni duara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…