smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,407
- 2,837
Mkuu naona umeniquote vibaya ninaposema wapo wengi simaanishi nimewabikiri wengi bali nina uhakika kuwa haujazunguka tanzania nzima hadi ukapata takwimu kuwa hakuna bikra now days.Umewatoa wangapi hizo bikra acha uongo. Kama wapo wengi( meaning umewabikiri ndio maana unatuhakikishia wapo- wakaolewe na nani na ushawabikiri?
Ila kutokana na maneno yanayozungumzwa sanaa kitaaani kwenu pamoja na ww kutoka na hao ambao si mabikra ndiyo kumekufanya ww kufikia hitimisho kwamba hakuna mabikira ila wapo.