Kama ni kweli wewe sio single mother hongera,sasa mimi kuwa na msimamo kwamba siwezi kuoa single mother ni dhambi???
R
 
Hahahaa
Watu wako careless sana halaf wanakwambia eti ukipenda ua sjui penda na boga lake, hata sjui ule msemo.

Ina niumiza sanaa wadada wanapewa mimba hovyo hovyo sku hizi
wasiwasi ni pale mwenye hao watoto wake akitaka kusalimia damu yake! kuna kukumbushia huko!
 
Halafu wanawake waliojifungua wakaweza maintain miili yao huwa wanavutia sana sijui hata ni kwanini.
 
Asiye kuelewa hapa hawezi kulewa msimamo wako kabisa.
 
Wala siyo lazima awe mwanaume wake wa kwanza. Akishazaa naye tu, the bond is permanent. Afadhali kidogo sana, nasema kidogo sana, yule ambaye mwanaume alikataa mtoto toka mwanzo, lakini swali la 'kwanini amkatae' lazima lijibiwe kwanza kikamilifu, japo bado nasema hafai kuolewa.
 
Ushauri wako uliomwambia kwamba "be careful" ndio anaouzingatia kwa kuhakikisha kwamba anaanza vizuri kwa kuwaepuka kabisa hao single mothers maana watamwekea mfano mbaya nyumbani kwake. Atawezaje kumwonya binti yake kuhusu mimba bila ndoa wakati binti anaona kabisa mama yake ndiyo aliyoanza nayo?
 
Hahaaaaaaaaa!!!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umemaliza maada na mimi nafuata ushauri wake i will be careful kwelikweli
 
Ishu sio kuzalishwa tu, kwa ujumla kuoa mwanamke aliyebikiriwa na mwanamume mwingine haifai. Inatakiwa mke unayemuoa umbikiri wewe mwenyewe.

Hivi unadirikije kununua nguo ya mtumba wakati nguo mpya zipo tena kwa gharama ile ile? Tena wakati mwingine nguo mpya huwa na gharama ndogo kuliko zile za mtumba.

Hivi kwa nini soda ikija imefunguliwa huwa tunagoma kuinywa?
Kwani kipi cha thamani, soda au mwanamke?

Ukikuta mwanamke kashatobolewa na jamaa mwingine (hata kama hakuzaa) ni shida kuamini kama kweli mahusiano yao yamekatika, maana uwezekano wa wao kukutana na kukumbushia upo kwa asilimia kubwa tu.
Ni wanawake wachache mnooo wenye nguvu ya kukataa akionana na X wake, hata kama hawakuzaa mtoto.

Hii tabia ndio inapelekea wanaume kulea watoto wasio wao, lkn wanawake wanajua mtoto yupi ni wa nani.

Ushauri wangu:
1) Kama hujaoa jitahidi uwezavyo uoe msichana mtakaeanza naye tendo la ndoa-fresh.
2) Kama hujaolewa, na hujabikiriwa jitahidi uwezavyo kutunza ubikra wako hadi siku ya ndoa.

Kama bahati mbaya ulishabikiriwa kabla ya kuolewa, na hamna mpango wa kuoana, omba Mungu upate mwanamume asiyejali thamani ya ubikra katika maisha ya ndoa. Na ukibahatika, basi usilete maringo. Utulie ili kuficha aibu.
 
Mimi nitaoa bikra tu maana hamna namna
 
Kaa chini ujichunguze wewe mwenye Family yenu na ukoo Wenu, inawezekana baba na mama, bibi na babu yako walillelewa na wazazi wa kamboa ndipo walipomzaa mzazi wako ukapatikana wewe. Je ulicho andike kitakuwa Sawa.
 
Ila hizi ndoa za kuoa wenye watoto zina changamoto mie nimeshuhudia kwa macho yangu
 
Na wewe ni single mom?
 
Na wewe ni single mom?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…