Bora hao,wanaume wake unakuwa huwajui hata kama mwanamke alikuwa ana wanaume mia hawezi kukuambia kuliko single mother ambaye alishazaa kabisa na aliyemzalisha unamjua,yaani ukimuona tu mtoto wa single mother unamkumbuka baba ake,kwanza mi naona hata kinyaa
Ishu sio kuzalishwa tu, kwa ujumla kuoa mwanamke aliyebikiriwa na mwanamume mwingine haifai. Inatakiwa mke unayemuoa umbikiri wewe mwenyewe.
Hivi unadirikije kununua nguo ya mtumba wakati nguo mpya zipo tena kwa gharama ile ile? Tena wakati mwingine nguo mpya huwa na gharama ndogo kuliko zile za mtumba.
Hivi kwa nini soda ikija imefunguliwa huwa tunagoma kuinywa?
Kwani kipi cha thamani, soda au mwanamke?
Ukikuta mwanamke kashatobolewa na jamaa mwingine (hata kama hakuzaa) ni shida kuamini kama kweli mahusiano yao yamekatika, maana uwezekano wa wao kukutana na kukumbushia upo kwa asilimia kubwa tu.
Ni wanawake wachache mnooo wenye nguvu ya kukataa akionana na X wake, hata kama hawakuzaa mtoto.
Hii tabia ndio inapelekea wanaume kulea watoto wasio wao, lkn wanawake wanajua mtoto yupi ni wa nani.
Ushauri wangu:
1) Kama hujaoa jitahidi uwezavyo uoe msichana mtakaeanza naye tendo la ndoa-fresh.
2) Kama hujaolewa, na hujabikiriwa jitahidi uwezavyo kutunza ubikra wako hadi siku ya ndoa.
Kama bahati mbaya ulishabikiriwa kabla ya kuolewa, na hamna mpango wa kuoana, omba Mungu upate mwanamume asiyejali thamani ya ubikra katika maisha ya ndoa. Na ukibahatika, basi usilete maringo. Utulie ili kuficha aibu.