Mimi nitaoa single mother kwa gharama yeyote sababu sioni cha ajabu ni nini...
ni kama ningekua muislam ningeoa wake wa4 na wote wangekua single mothers..
na hiii naisema kwa dhati kabisa kama kuna single mother humu na lonely pm me and lets start a family
 
Kila MTU na chaguo lake na wengine wamekua single mother si kwa kupenda hivyo wasiolewe tena kwa vile wamezaa?
 
Ila kutwa kucha kuvizia wake za watu pumbavvvvvv.
 
bora single mother utamtumia hata kupima urijali wako kuliko vicheche watoa mimba!
changamoto pekee ni wao kulinganisha mwenendo wako na wa mtangulizi wako tuu, hapo ndio pakutakiwa kupajua na mwisho wa siku raha mustarehe!!
 
bora single mother utamtumia hata kupima urijali wako kuliko vicheche watoa mimba!
changamoto pekee ni wao kulinganisha mwenendo wako na wa mtangulizi wako tuu, hapo ndio pakutakiwa kupajua na mwisho wa siku raha mustarehe!!
Bora vicheche kwa sababu nakua sijui kama alitoa mimba hata wewe inawezekana mkeo au demu wako alitoa mimba
 
Hivi hawa modes kumbe wapuuzi hivi?. Wameuachaje huu uzi unaodhalilisha mama zetu kiasi? Mpaka watukanwe vipi ndo wauondoe?
 
Achana na hao vijana wanaoishi kwa shemeji zao ambao kila siku ni kuanzisha mada za singo maza.
Ukiendekeza maneno ya watu yatakuvuruga na utakata tamaa kuwa singo maza inatakiwa iwe chachu ya kufanikiwa kwenye maisha na kutengeneza maisha mazuri ya mtoto wako.
Bill Clinton,Obama,Jay Z,Angeline Jolie,Tupac,Diamond wamelelewa na mama zao tu.
Winnie Mandela aliishi na watoto 2 bila mume kwa zaidi ya miaka 27 na akawasomesha na juzi watoto wamemzika mama yao kwa heshima kubwa.
 
Uzuri wa single mothers wana character moja hivi in common, wakogi submissive sana wakipata mwanaume hivyo kufanya mapenzi yawe motomoto sana hakika ukiwa nae ni fulltime furaha na amani hawanaga jeuri tofauti na hawa watoaji mimba na wale wa bebi usinikojolee ambao wanajionaga wazuri sana na viburi vya aina yake, haofii kuachwa yani hata kwa sababu ambazo hazina mashiko anajua bado ana soko tu hata akiwa age imesonga.
 
Lakini pia kumbuka changamoto zake na pia hayo mapenzi ni ya kuigiza tu
 
Utaanzaje mechi na 1-0 raha ya mpira ni kuanza 0-0 huu msemo wa kibabe sana
 
Hakuna haja ya kukuonea huruma kisa ujinga wako mwenyewe.
Mnaacha wanaume wenye nia njema mnafuata wanaume wenye mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…