Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Mimi nitaoa single mother kwa gharama yeyote sababu sioni cha ajabu ni nini...
ni kama ningekua muislam ningeoa wake wa4 na wote wangekua single mothers..
na hiii naisema kwa dhati kabisa kama kuna single mother humu na lonely pm me and lets start a family
 
Msipende kutulaumu, wewe umepewa mimba huko then mimi nije nikuoe,kuoa mwanamke aliyezaa ni sawa tu na kuoa mke wa mtu mwisho wa siku niitwe baba wa kambo au nina roho mbaya, hamjitunzi mnafanya umalaya huko, unakuta mwanamke ametumika, amechakaaa weee amezaa na kuzaa afu duke nimuoe,bora tu nisioe kuliko kuoa single mother, hivi nyie mnaooa single mothers hamjisikii kinyaa,
Kuna ki single mother kinansumbua kweli eti nikioe labda sio mimi duke

Mapovu ruksa
Kila MTU na chaguo lake na wengine wamekua single mother si kwa kupenda hivyo wasiolewe tena kwa vile wamezaa?
 
Msipende kutulaumu, wewe umepewa mimba huko then mimi nije nikuoe,kuoa mwanamke aliyezaa ni sawa tu na kuoa mke wa mtu mwisho wa siku niitwe baba wa kambo au nina roho mbaya, hamjitunzi mnafanya umalaya huko, unakuta mwanamke ametumika, amechakaaa weee amezaa na kuzaa afu duke nimuoe,bora tu nisioe kuliko kuoa single mother, hivi nyie mnaooa single mothers hamjisikii kinyaa,
Kuna ki single mother kinansumbua kweli eti nikioe labda sio mimi duke

Mapovu ruksa
Ila kutwa kucha kuvizia wake za watu pumbavvvvvv.
 
bora single mother utamtumia hata kupima urijali wako kuliko vicheche watoa mimba!
changamoto pekee ni wao kulinganisha mwenendo wako na wa mtangulizi wako tuu, hapo ndio pakutakiwa kupajua na mwisho wa siku raha mustarehe!!
 
Bora vicheche kwa sababu nakua sijui kama alitoa mimba hata wewe inawezekana mkeo au demu wako alitoa mimba
 
Hivi hawa modes kumbe wapuuzi hivi?. Wameuachaje huu uzi unaodhalilisha mama zetu kiasi? Mpaka watukanwe vipi ndo wauondoe?
 
OK tumekusikia mkuu swala lako tutalifanyia kazi....nakumbuka kipindi ninamimba nilifungua Uzi fulani humu unawa sema single mother niliumia sana nililia karibu siku mzima nilikua naogopa kuondoka kwa X wangu kutokana na manyanyaso aliyokua akinipa nikiwaza naenda kua single mother ambapo kila siku nitakua nanyoshewa kidole niliamua acha nifie kwa huyuhuyu alienipa mimba ilipofikia siku analeta mwanamke chumba kingine maumivu yalizidi wakati huo ninamimba ya miez saba nakumbuka nilinunua variam 20 ninywe nife bahati mbaya mwanaume sijui alitoka wapi aakawa ameziona any way story ndefu mpaka sasa nikiona uzi wa hivi naumia sana namwambia Mungu kwann mimi kwann uliruhusu hali hii kwangu haya matusi mpaka lini kweli sikupanga maisha ya single mother... Mungu tu anitie nguvu niweze kuzoea haya masimango....Asante mtoa mada Mungu akuepushe na hiki kikombe katika uzao wako wote maana hata wazazi hakuna anaependa mtoto wake azalie nyumbani
Achana na hao vijana wanaoishi kwa shemeji zao ambao kila siku ni kuanzisha mada za singo maza.
Ukiendekeza maneno ya watu yatakuvuruga na utakata tamaa kuwa singo maza inatakiwa iwe chachu ya kufanikiwa kwenye maisha na kutengeneza maisha mazuri ya mtoto wako.
Bill Clinton,Obama,Jay Z,Angeline Jolie,Tupac,Diamond wamelelewa na mama zao tu.
Winnie Mandela aliishi na watoto 2 bila mume kwa zaidi ya miaka 27 na akawasomesha na juzi watoto wamemzika mama yao kwa heshima kubwa.
 
Uzuri wa single mothers wana character moja hivi in common, wakogi submissive sana wakipata mwanaume hivyo kufanya mapenzi yawe motomoto sana hakika ukiwa nae ni fulltime furaha na amani hawanaga jeuri tofauti na hawa watoaji mimba na wale wa bebi usinikojolee ambao wanajionaga wazuri sana na viburi vya aina yake, haofii kuachwa yani hata kwa sababu ambazo hazina mashiko anajua bado ana soko tu hata akiwa age imesonga.
 
Lakini pia kumbuka changamoto zake na pia hayo mapenzi ni ya kuigiza tu
 
Utaanzaje mechi na 1-0 raha ya mpira ni kuanza 0-0 huu msemo wa kibabe sana
 
Hakuna haja ya kukuonea huruma kisa ujinga wako mwenyewe.
Mnaacha wanaume wenye nia njema mnafuata wanaume wenye mali.

Back
Top Bottom