toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Kwa nini mnapenda kutunga story zenu kichwani na kuwalaumu watu wasiohusika maana Sijawahi kuona single mama kampaka mwanae lip gloss, wanja au poda ili awe handsome. sio fair kabisa na hamjui ni ngumu kiasi gani kwao kulea watoto wa kiume na wengine huwa wakatili kabisaa kwa sababu hakuna fatherly figure around.
Kama haujaona kitu haimaanishi kuwa hakipo. Usiwe mwepese kukataa jambo ambalo hata wewe haujui uwepo wake.Kwa nini mnapenda kutunga story zenu kichwani na kuwalaumu watu wasiohusika maana Sijawahi kuona single mama kampaka mwanae lip gloss, wanja au poda ili awe handsome. sio fair kabisa na hamjui ni ngumu kiasi gani kwao kulea watoto wa kiume na wengine huwa wakatili kabisaa kwa sababu hakuna fatherly figure around.
Una maanisha nn kusema feminine kiasi?!sijaona lip gloss au poda hapo zaidi ya picha moja ambayo mtoto kapiga pozi feminine kiasi. Mimi nimetoa experience yangu binafsi na ningeomba utafute hata picha mbili za watanzania waliowaremba watoto wao wa kiume maana sijawahi KUONA
Mbona unakataa kitu ambacho kipo wazi kabisa.... Na mimi sijaelewa hapa wewe unataka kutueleza nini kwa maana unakataa kitu ambacho mtu kakitolea ufafanuzi, haya hebu utuambie wewe sasa ni kwann unapinga?!Ushawahi kukaa na mashoga ukawaelewa. Ushawahi kujua walianzia wapi au na wewe upo kama mleta mada na watanzania wengi wanaokaa chumbani na kuanza kutoa assumptions zao . No research no right to speak
Unaonekana una unauelewa mdogo sana au hauna kabisa uelewe wa aina gani ya changamoto mleta maada anaizungumzia..mmUpumbavu tu huu, mi najua watu kibao waliolelewa na single mama wapo straight, mfano mtu kama Fid Q, Kanumba, Diamond, Q chief, 50 cent, Diddy, Obama, Jayz, Kanye West etc wote hawa wamelelewa na mama zao, na wapo straight
Ushoga ni kitu inborn, mwanaume kama umezaliwa na viungo vyako vyote vinavyohusika kutoa homoni wakati wa balehe huwezi kumtamani mwanaume mwenzako, mtoto wa kiume akilelewa na mama yake kuna muda utafika tu mwenyewe ataona sio poa kukaa na mama
Mimi nimelelewa na wazazi wote wawili lakini malezi yote kanipa mama, mzee alikuwa busy sana, na huo ushoga sina
pumbavu mkubwa, huna uelewa wa kitu chochoe zaidi ya kusoma na kuandikaUnaonekana una unauelewa mdogo sana au hauna kabisa uelewe wa aina gani ya changamoto mleta maada anaizungumzia..mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hapa unaongelea wale wadada wa mjini kutwa nzima wako club au wanashinda saloon,hawana mpango.ila kumbuka suala la malezi ni aina ya mwanamke ulie nae.Mama ndio anasiamamia malezi ya watoto kwa 80%.Unaweza kuwepo kama baba na bado mtoto akapotea pia,achana na hizo mentality .kuna wanawake wanajielewa hata kama yuko single ila hawezi onesha mahusiano yake kimapenzi na mtu wake kwa watoto wake.
Wanafeli sanaNa ilo ndo kosa walokosea hawa wanawake.
Wajirekebishe.... Nadhan ni kambinu wanakotumia kukufanya wewe Mpya, uonekane kama amekupa nafasi kwa kukuonea huruma tu, kwamba wala humfai Ila basi tu ...
[emoji23][emoji23]kwanini[emoji23][emoji23]
Nyie ndo wenye safari za mapenzi
Aise R. I. P kwa Mr.Chediel, alikua msabato huyu jamaa?Write your reply...muhuni wangu cheddy alikufa kifo cha kizembe kisa hawa hawa single mother na tulimuonya kabisa single mother sio wanawake wa kuoa hakuskia
embu ona wivu wa mapenz ulipomfikisha ipumzike kwa amani roho yake
Eti wanadai hawawezi kumsahau waliezaa nae, hawa watu ni poisonHuwez kaaa umlinganishe mwanaume uliyenaye na Mwanaume wako wa zamani tena kwa waziwazi namna hiyo!Wajirekebishe.... Nadhan ni kambinu wanakotumia kukufanya wewe Mpya, uonekane kama amekupa nafasi kwa kukuonea huruma tu, kwamba wala humfai Ila basi tu ...
Na ukiwa Mwanaume mjinga wakutikiswa ovyoovyo basi utajikuta wee ni Fuata upepo na kujiona inferior !!!
Never ever !!!
Mkuu una moyo wa kijasiri sana mm wa hvyo ata robo siku nisingeweza kuishi nae!Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!
Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.
kauli zake zilikua kama :-
1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)
2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake
3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)
4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!
Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.
Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!
Sent using Jamii Forums mobile app