Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
[emoji23][emoji23][emoji23] ulimsugua wapi aiseeeHehehe! Mimi siku tuko Kitandani, hapo anakatika nkagusa sehemu akasema "aisee we mwanaume umenikumbusha baba Corona" [emoji3][emoji3][emoji3]
Uzuri nadate naye kwa kupunguziana stress sio mipango ya maisha na ndoa na yeye anajua so ni win win situation, maana ingine ni mchepuko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi alikuwa anamtaja mwanae kila baada ya sentes 2 [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua umeoa single mothermnakutana na mikahaba....inakuona wewe kama leso au tishu kazi yake ni kupangusa na kutupwa.....
Watu hawaoi ili wazazi waridhike. Ila upo sawa Ni hatari kuoa mtu mwenye familia na mtu mwingine, inahitaji uwe mwanaume kweli kuweza kumtuliza. Wanaume wa aina hiyo wapo ila wachache, huku nilipo kuna mtu kachukua mwanamke aliyezaa na mwanaume watoto wawili na alikuwa anaishi nae. Kaoa kapeleka watoto shule za maana na jamaa anamuonaga mama watoto wake akipita tu na mgari mjini. Hata salamu hawezi toa, anatoa povu tu kuwa atalipiwa na Muumba, ipo siku atapata ila ndo hivyo mwanaume keshafanya yake.in short kitamaduni tu na kimalezi utaonekana mtu wa ajabu sana kijana kuoa single mother labda uwe tayari ushaoa uongeze na hakuna mzazi anaependa mwanae aoe mwanamke mwenye mtoto wengine wanakubali kishingo upande
Kwa sababu huna uelewa nayo haya mambo elewa hivyo hivyo, yaani unamchukulia mtoto kiurahisi tuu, mtoto ndio kiunganishi cha upendo na hawezi kumsahau Ex wake maana ana mtoto wake, na lazma wawasiliane ili baba ajue maendeleo ya mtoto wake, ukikua utajua tuu maliza chuo kwanzaMbona hakuna uhusiano hapo sasa kati ya yeye kuwa single mother na mapenzi aliyonayo kwa x wake? Hata angekuwa hajazaa au angeitoa mimba ukamkuta hana mtoto angemkumbuka tu huyo X. In short uliashindwa kumtuliza mengine ni mbwembwe na sababu zisizo na uhalisia.
hujakosea bro, and we are very happy...... na mimi nlikuwa single dad
Hapo sawa mkuu, wote mnawatoto ni vzuri, nasemea ambae huna mtoto ukaoe mtu kama huyohujakosea bro, and we are very happy...... na mimi nlikuwa single dad
kuna ambao wako fair sana tuu...wanajitambua vema sana.......Hapo sawa mkuu, wote mnawatoto ni vzuri, nasemea ambae huna mtoto ukaoe mtu kama huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuwaje aisee??huwa wanakuwa na mapenzi sana kabla hujawaoa inawezekana muhuni wako ndo alinasa hapoWrite your reply...muhuni wangu cheddy alikufa kifo cha kizembe kisa hawa hawa single mother na tulimuonya kabisa single mother sio wanawake wa kuoa hakuskia
embu ona wivu wa mapenz ulipomfikisha ipumzike kwa amani roho yake
Nawaza tuu.Nadhan nihiki kizazi cha sasa + ukisasa mwingi .........,Wa mama huko zamani waliwezaje? Yaan nisawa namm nkae mbele ya mwanamke ,nianze kuzungumzia nakumlinganisha yeye na Ex wangu???
Badala ya kujenga ,unabomoa.
Umekosea sana kunishambulia, mengi umeongea uongo wala sihusiani nayo ila Pole ni mambo ya kawaida, ni kawaida kushindwa kumridhisha mwanamke. Pambana tu na uliye naye aridhike.Kwa sababu huna uelewa nayo haya mambo elewa hivyo hivyo, yaani unamchukulia mtoto kiurahisi tuu, mtoto ndio kiunganishi cha upendo na hawezi kumsahau Ex wake maana ana mtoto wake, na lazma wawasiliane ili baba ajue maendeleo ya mtoto wake, ukikua utajua tuu maliza chuo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh alijiua au ilikuajesijawahi kumuona akienda kanisa so siwezi jua tulikuwa mda mwingi tupo nae maskani ye mwenyewe ukimuuliza dini anaamini ktk amani,upendo na kufanya matendo mazuri ndo dini
alimgharamikia sana yule single mama alimlelea mwanae kama mtoto wake vile na alisaidia sana ndugu wa mwanamke kumbe yule mama anaona kisirisiri na baba mtoto kiporo kinapashwa
Single mothers wengi wanakimbilia kuingia kwenye mahusiano ndo maana wanaangukia pua. Anazalishwa halafu akiachwa anataka asahihishe haraka haraka, yoyote twende, mwishowe wanakuwa malaya. Halafu wanaangukiaga kwa aliye chini kiuwezo (either kwa sex perfomance, kifedha au kimwonekano) kuliko baba mtoto sasa hapa ndo ugumu unaongezeka maana anashindwa msaau baba mtoto.Nawaza tuu.
zamani kuzalia nyumbani( kuzaa kabla ya kuolewa) ilikuwa ni aibu ya binti na familia kwa jamii.
Kwahiyo ilikuwa ni ngumu kumkuta binti anamuongelea mtu alizaa nae.
Tofauti na zamani, siku hizi ni kitu cha kawaida, hadi mmekipa jina " Single mothers"
Beggars can't be choosers
Nying ulizoorodhesha hapo ni kauli zinazotolewa na watu wenye vitabia flan flan hv vya kulinganisha wapenz wao na watu wengine haijalish ni single maza, mjane, mtalaka etc...Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!
Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.
kauli zake zilikua kama :-
1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)
2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake
3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)
4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!
Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.
Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!
Sent using Jamii Forums mobile app