Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hehehe! Mimi siku tuko Kitandani, hapo anakatika nkagusa sehemu akasema "aisee we mwanaume umenikumbusha baba Corona" [emoji3][emoji3][emoji3]

Uzuri nadate naye kwa kupunguziana stress sio mipango ya maisha na ndoa na yeye anajua so ni win win situation, maana ingine ni mchepuko.
[emoji23][emoji23][emoji23] ulimsugua wapi aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hakuna uhusiano hapo sasa kati ya yeye kuwa single mother na mapenzi aliyonayo kwa x wake? Hata angekuwa hajazaa au angeitoa mimba ukamkuta hana mtoto angemkumbuka tu huyo X. In short uliashindwa kumtuliza mengine ni mbwembwe na sababu zisizo na uhalisia.
 
mnakutana na mikahaba....inakuona wewe kama leso au tishu kazi yake ni kupangusa na kutupwa.....
 
in short kitamaduni tu na kimalezi utaonekana mtu wa ajabu sana kijana kuoa single mother labda uwe tayari ushaoa uongeze na hakuna mzazi anaependa mwanae aoe mwanamke mwenye mtoto wengine wanakubali kishingo upande
Watu hawaoi ili wazazi waridhike. Ila upo sawa Ni hatari kuoa mtu mwenye familia na mtu mwingine, inahitaji uwe mwanaume kweli kuweza kumtuliza. Wanaume wa aina hiyo wapo ila wachache, huku nilipo kuna mtu kachukua mwanamke aliyezaa na mwanaume watoto wawili na alikuwa anaishi nae. Kaoa kapeleka watoto shule za maana na jamaa anamuonaga mama watoto wake akipita tu na mgari mjini. Hata salamu hawezi toa, anatoa povu tu kuwa atalipiwa na Muumba, ipo siku atapata ila ndo hivyo mwanaume keshafanya yake.
 
Mbona hakuna uhusiano hapo sasa kati ya yeye kuwa single mother na mapenzi aliyonayo kwa x wake? Hata angekuwa hajazaa au angeitoa mimba ukamkuta hana mtoto angemkumbuka tu huyo X. In short uliashindwa kumtuliza mengine ni mbwembwe na sababu zisizo na uhalisia.
Kwa sababu huna uelewa nayo haya mambo elewa hivyo hivyo, yaani unamchukulia mtoto kiurahisi tuu, mtoto ndio kiunganishi cha upendo na hawezi kumsahau Ex wake maana ana mtoto wake, na lazma wawasiliane ili baba ajue maendeleo ya mtoto wake, ukikua utajua tuu maliza chuo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...muhuni wangu cheddy alikufa kifo cha kizembe kisa hawa hawa single mother na tulimuonya kabisa single mother sio wanawake wa kuoa hakuskia

embu ona wivu wa mapenz ulipomfikisha ipumzike kwa amani roho yake
ilikuwaje aisee??huwa wanakuwa na mapenzi sana kabla hujawaoa inawezekana muhuni wako ndo alinasa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan nihiki kizazi cha sasa + ukisasa mwingi .........,Wa mama huko zamani waliwezaje? Yaan nisawa namm nkae mbele ya mwanamke ,nianze kuzungumzia nakumlinganisha yeye na Ex wangu???


Badala ya kujenga ,unabomoa.
Nawaza tuu.

zamani kuzalia nyumbani( kuzaa kabla ya kuolewa) ilikuwa ni aibu ya binti na familia kwa jamii.
Kwahiyo ilikuwa ni ngumu kumkuta binti anamuongelea mtu alizaa nae.

Tofauti na zamani, siku hizi ni kitu cha kawaida, hadi mmekipa jina " Single mothers"

Beggars can't be choosers
 
Kwa sababu huna uelewa nayo haya mambo elewa hivyo hivyo, yaani unamchukulia mtoto kiurahisi tuu, mtoto ndio kiunganishi cha upendo na hawezi kumsahau Ex wake maana ana mtoto wake, na lazma wawasiliane ili baba ajue maendeleo ya mtoto wake, ukikua utajua tuu maliza chuo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea sana kunishambulia, mengi umeongea uongo wala sihusiani nayo ila Pole ni mambo ya kawaida, ni kawaida kushindwa kumridhisha mwanamke. Pambana tu na uliye naye aridhike.
 
sijawahi kumuona akienda kanisa so siwezi jua tulikuwa mda mwingi tupo nae maskani ye mwenyewe ukimuuliza dini anaamini ktk amani,upendo na kufanya matendo mazuri ndo dini


alimgharamikia sana yule single mama alimlelea mwanae kama mtoto wake vile na alisaidia sana ndugu wa mwanamke kumbe yule mama anaona kisirisiri na baba mtoto kiporo kinapashwa
Duh alijiua au ilikuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza tuu.

zamani kuzalia nyumbani( kuzaa kabla ya kuolewa) ilikuwa ni aibu ya binti na familia kwa jamii.
Kwahiyo ilikuwa ni ngumu kumkuta binti anamuongelea mtu alizaa nae.

Tofauti na zamani, siku hizi ni kitu cha kawaida, hadi mmekipa jina " Single mothers"

Beggars can't be choosers
Single mothers wengi wanakimbilia kuingia kwenye mahusiano ndo maana wanaangukia pua. Anazalishwa halafu akiachwa anataka asahihishe haraka haraka, yoyote twende, mwishowe wanakuwa malaya. Halafu wanaangukiaga kwa aliye chini kiuwezo (either kwa sex perfomance, kifedha au kimwonekano) kuliko baba mtoto sasa hapa ndo ugumu unaongezeka maana anashindwa msaau baba mtoto.
 
Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).

[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!

Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.

kauli zake zilikua kama :-

1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)

2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake

3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)

4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!


Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.

Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nying ulizoorodhesha hapo ni kauli zinazotolewa na watu wenye vitabia flan flan hv vya kulinganisha wapenz wao na watu wengine haijalish ni single maza, mjane, mtalaka etc...

Mwanamke mwenye tabia hii atakulinganisha na yeyote ili mrad afikishe ujumbe wake hata kama sio single maza atakulinganisha na ex wake... utaskia nlivyokua na flan kila siku alikua ananifanyia kitu flan yan sitamsahau ktk maisha yng...

Kama hana ex basi atakulinganisha hata na mume wa jiran yake utaskia flan amepata mwanaume anamfanyia hv na hv yaan ili mrad tu bila kukulinganisha haoni kama anaweza kueleweka

Mwanamke wa namna hii ni ngumu sana kudeal nae na ukimkuta ni single maza ndio inaamsha hasira zaid

Kuna single maza nlishawah kupita nae alikua ananlinganisha na baba wa mtoto wake in positive way bila kuzua taharuk mf. hata alienizalisha hajawah kunikojoza namna hii hiki kitombo cha leo sio cha sayari hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asikudanganye mtu single mother siyo wanawake wa kuoa wangu niliye zaa naye tunapasha kiporo kila anapokuja na mwanae!!full kunililia kwa mahaba kuwa huko aliko ni basi tu,na jamaa ana mtonyo mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom