hujakosea bro, and we are very happy...... na mimi nlikuwa single dad
Hujawahi sikia mtu ana mume na watoto ila kuna njemba inamchanganya huko nje hata hajali tena? Anaiwaza njemba tu mpaka wakati mwingine anatoroka watoto na mume akaione njemba yake? Single mothers wanaweza kutulia kabisa if you are a man enough for her. Mm mifano ipo mingi naifahamu. Mwanamke hata ukioa bikra, kama you are not man enough for her sali sana asikutane na man anayemuelewa. Utaibiwa tu. Still mtu akiniomba ushauri kati ya single mom na asiye single mom ntamshauri asiende kwa single mom maana ni hatari. Unnecessary compitition.
 
Sijasikia mkiongelea single father au wao hawana matatizo kama wengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ahudumii, mwanaume ndo anahudumia. Wanawake wengi si waoga wa kugongewa ila ni waoga wa kuibiwa mume kabisa kwamba asirudi tena, wanaume wengi wanaogopa sana kugongewa hata kidogo tu, wanataka mwanamke awe kama pua, saa zote ni yake anapengea kamasi yeye tu. Kutokana na hayo tegemea povu la wanaume kwa single mothers kuliko upande wa pili. Wanaume tulio huru tuna burudani sana, maana tunajichagulia tutakaye uwe single mom, bikra au ulitoa. Mpo wengi sanaaaaaa kutupa presha.
 
sawa kabisa...Inzi ni Nyuki mpumbavu...sorry mjinga......but am telling you umecomment kwa uelewa wa hali ya juu,,,vijana wanaotaka kuoa wajitambue...
 
mlio huru kivipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asikudanganye mtu single mother siyo wanawake wa kuoa wangu niliye zaa naye tunapasha kiporo kila anapokuja na mwanae!!full kunililia kwa mahaba kuwa huko aliko ni basi tu,na jamaa ana mtonyo mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2] jamaa kaingia cha kike unaweza ukaona ndo huyo huyo humu kwenye comment anadai anaisha maisha ya furaha na huyo single mother ambaye unajipigia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama haujadanganya kwa ajili ya chuki basi ulikuwa uki date na punguani, ndege wafananao huruka pamoja, pengine na wewe upo hivyo hivyo
 
mlio huru kivipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru ni hali ya kutokuishi na hofu katika jambo flani. Mfano" umempenda single mother ila huwezi kuwa nae sababu una hofu atagongwa na mzazi mwenzake.

Kwenye mapenzi Ukiwa huru, kugongewa haiwezi kuwa hofu kwako. Uwe una mpenzi bikra au mwenye watoto hutakaa ukiwaza kugongewa maana unajiamini na ikitokea utapima madhara na utajua nn cha kufanya kama ni kumuacha au la. Binadamu tupo tofauti na hofu zinatofautiana.

Mfano Ccm iliingiwa hofu na nwenendo wa kachero ikamtimua. Ni hofu tu si kingine, angeweza akaachwa na asiwe na madhara ila hofu ya kuleta madhara chamani ikasababisha atimuliwe.
 
Na ukute Wewe Hapo mama ake Wewe ni single mother...[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…