kakhulu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 784
- 1,070
Sijasikia mkiongelea single father au wao hawana matatizo kama wengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi sikia mtu ana mume na watoto ila kuna njemba inamchanganya huko nje hata hajali tena? Anaiwaza njemba tu mpaka wakati mwingine anatoroka watoto na mume akaione njemba yake? Single mothers wanaweza kutulia kabisa if you are a man enough for her. Mm mifano ipo mingi naifahamu. Mwanamke hata ukioa bikra, kama you are not man enough for her sali sana asikutane na man anayemuelewa. Utaibiwa tu. Still mtu akiniomba ushauri kati ya single mom na asiye single mom ntamshauri asiende kwa single mom maana ni hatari. Unnecessary compitition.hujakosea bro, and we are very happy...... na mimi nlikuwa single dad
Mwanamke ahudumii, mwanaume ndo anahudumia. Wanawake wengi si waoga wa kugongewa ila ni waoga wa kuibiwa mume kabisa kwamba asirudi tena, wanaume wengi wanaogopa sana kugongewa hata kidogo tu, wanataka mwanamke awe kama pua, saa zote ni yake anapengea kamasi yeye tu. Kutokana na hayo tegemea povu la wanaume kwa single mothers kuliko upande wa pili. Wanaume tulio huru tuna burudani sana, maana tunajichagulia tutakaye uwe single mom, bikra au ulitoa. Mpo wengi sanaaaaaa kutupa presha.Sijasikia mkiongelea single father au wao hawana matatizo kama wengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa kabisa...Inzi ni Nyuki mpumbavu...sorry mjinga......but am telling you umecomment kwa uelewa wa hali ya juu,,,vijana wanaotaka kuoa wajitambue...Hujawahi sikia mtu ana mume na watoto ila kuna njemba inamchanganya huko nje hata hajali tena? Anaiwaza njemba tu mpaka wakati mwingine anatoroka watoto na mume akaione njemba yake? Single mothers wanaweza kutulia kabisa if you are a man enough for her. Mm mifano ipo mingi naifahamu. Mwanamke hata ukioa bikra, kama you are not man enough for her sali sana asikutane na man anayemuelewa. Utaibiwa tu. Still mtu akiniomba ushauri kati ya single mom na asiye single mom ntamshauri asiende kwa single mom maana ni hatari. Unnecessary compitition.
huyo ni X aliyezaa naye.kuna tofauti hapoMbona hakuna uhusiano hapo sasa kati ya yeye kuwa single mother na mapenzi aliyonayo kwa x wake? Hata angekuwa hajazaa au angeitoa mimba ukamkuta hana mtoto angemkumbuka tu huyo X. In short uliashindwa kumtuliza mengine ni mbwembwe na sababu zisizo na uhalisia.
Hahaha poa mkuusawa kabisa...Inzi ni Nyuki mpumbavu...sorry mjinga......but am telling you umecomment kwa uelewa wa hali ya juu,,,vijana wanaotaka kuoa wajitambue...
Alafu chakushangaza watu wenyewe thamani ilishashuka alafu wanaleta nyodo... Dawa yao nikuwagegeda tuu na kusepa zako.Na ilo ndo kosa walokosea hawa wanawake.
Kumsahau kwa kweli hilo haliwezekani.... Kwani wee umeshasahau demu yoyyote uliyemgegeda atakama ilikuwa kutuliza genye.
mlio huru kivipi?Mwanamke ahudumii, mwanaume ndo anahudumia. Wanawake wengi si waoga wa kugongewa ila ni waoga wa kuibiwa mume kabisa kwamba asirudi tena, wanaume wengi wanaogopa sana kugongewa hata kidogo tu, wanataka mwanamke awe kama pua, saa zote ni yake anapengea kamasi yeye tu. Kutokana na hayo tegemea povu la wanaume kwa single mothers kuliko upande wa pili. Wanaume tulio huru tuna burudani sana, maana tunajichagulia tutakaye uwe single mom, bikra au ulitoa. Mpo wengi sanaaaaaa kutupa presha.
[emoji2][emoji2][emoji2] jamaa kaingia cha kike unaweza ukaona ndo huyo huyo humu kwenye comment anadai anaisha maisha ya furaha na huyo single mother ambaye unajipigiaAsikudanganye mtu single mother siyo wanawake wa kuoa wangu niliye zaa naye tunapasha kiporo kila anapokuja na mwanae!!full kunililia kwa mahaba kuwa huko aliko ni basi tu,na jamaa ana mtonyo mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru ni hali ya kutokuishi na hofu katika jambo flani. Mfano" umempenda single mother ila huwezi kuwa nae sababu una hofu atagongwa na mzazi mwenzake.
Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!
Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.
kauli zake zilikua kama :-
1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)
2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake
3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)
4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!
Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.
Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] ambao mmeoa singo maza mnatokwa na povu sana, pole sana mkuukama haujadanganya kwa ajili ya chuki basi ulikuwa uki date na punguani, ndege wafananao huruka pamoja, pengine na wewe upo hivyo hivyo
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] jamaa kaingia cha kike unaweza ukaona ndo huyo huyo humu kwenye comment anadai anaisha maisha ya furaha na huyo single mother ambaye unajipigia
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona dawa ya coronavirus imekuingiaUzi wa wavulana wanao balehe ili wajione wavulana lazima wazalilishe wanawake. Kwa dunia ya Sasa watu wanazaa hovyo bila ndoa si wanawake Wala wanaume ni janga, Tena nyie wanaume kila mtaa na mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi sana nmewasahau, kama ningekua nmezaa nae ndio nisingemsahau kwa sababu ya mtotoKumsahau kwa kweli hilo haliwezekani.... Kwani wee umeshasahau demu yoyyote uliyemgegeda atakama ilikuwa kutuliza genye.
Ndio kilichobakiAlafu chakushangaza watu wenyewe thamani ilishashuka alafu wanaleta nyodo... Dawa yao nikuwagegeda tuu na kusepa zako.