Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Inasikitisha sanaAsikudanganye mtu single mother siyo wanawake wa kuoa wangu niliye zaa naye tunapasha kiporo kila anapokuja na mwanae!!full kunililia kwa mahaba kuwa huko aliko ni basi tu,na jamaa ana mtonyo mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahawezi kukulinganisha na maex wake wengine, anakulinganisha na BABA WA MTOTO WAKENying ulizoorodhesha hapo ni kauli zinazotolewa na watu wenye vitabia flan flan hv vya kulinganisha wapenz wao na watu wengine haijalish ni single maza, mjane, mtalaka etc...
Mwanamke mwenye tabia hii atakulinganisha na yeyote ili mrad afikishe ujumbe wake hata kama sio single maza atakulinganisha na ex wake... utaskia nlivyokua na flan kila siku alikua ananifanyia kitu flan yan sitamsahau ktk maisha yng...
Kama hana ex basi atakulinganisha hata na mume wa jiran yake utaskia flan amepata mwanaume anamfanyia hv na hv yaan ili mrad tu bila kukulinganisha haoni kama anaweza kueleweka
Mwanamke wa namna hii ni ngumu sana kudeal nae na ukimkuta ni single maza ndio inaamsha hasira zaid
Kuna single maza nlishawah kupita nae alikua ananlinganisha na baba wa mtoto wake in positive way bila kuzua taharuk mf. hata alienizalisha hajawah kunikojoza namna hii hiki kitombo cha leo sio cha sayari hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda bado ila kama mmekaa miaka 30 hapo unaweza kujipa matumaini
[emoji16][emoji16] mimi hiyo naitolea mfano ni miaka kama 8 hivi imepitaUmekosea sana kunishambulia, mengi umeongea uongo wala sihusiani nayo ila Pole ni mambo ya kawaida, ni kawaida kushindwa kumridhisha mwanamke. Pambana tu na uliye naye aridhike.
Bado ndoa mbichi hiyo!!! Na mtoto bado mdogo unless ni binti
Sijaoa na sitaoa single mother, ila sina chuki na nao kiasi cha kuwazulia visa vya uongo, ni immaturity ya hali ya juu sana, nadhani angekukosoa mwanamke ungemuita ni single mother, sio kila mtu anachuki nao,[emoji16][emoji16][emoji16] ambao mmeoa singo maza mnatokwa na povu sana, pole sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu[emoji16][emoji16] mimi hiyo naitolea mfano ni miaka kama 8 hivi imepita
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee sio poaNilitokea kumuelewa huyu binti hata kama ni singo maza, Ila imepita siku moja tokea nimtongeze na akaanza yake
" Mtoto leo ucku ataki ugali anataka chips ukija kunisalimia uje na chips. Nikamjibu ninazalula leo sitafika.
Ikawa anapenda kuniomba ela sana nikaona ni quit.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa niwazulie visa wakati nishawahi kua nar na ishanitokea?Sijaoa na sitaoa single mother, ila sina chuki na nao kiasi cha kuwazulia visa vya uongo, ni immaturity ya hali ya juu sana, nadhani angekukosoa mwanamke ungemuita ni single mother, sio kila mtu anachuki nao,
Pengine unasumbuliwa na stress za maisha na unakuja kushambulia single mother mtandaoni ili kujifariji, pole sana
SOMA COMMENT YA HUYU JAMAA HAPA CHINI UTAELEWA MAANA NAONA KAMA UNAPANICSijaoa na sitaoa single mother, ila sina chuki na nao kiasi cha kuwazulia visa vya uongo, ni immaturity ya hali ya juu sana, nadhani angekukosoa mwanamke ungemuita ni single mother, sio kila mtu anachuki nao,
Pengine unasumbuliwa na stress za maisha na unakuja kushambulia single mother mtandaoni ili kujifariji, pole sana
Sizani kama dhumuni la mleta mada ni kuwadhalilisha singo maza bali ni kuelimisha vijana wa kiume na wa kike.
Wote tunajua sio singo maza wote wapo hivyo, lazima kuwe na exceptions lakini tatizo ni kwamba % kubwa ya singo maza wanazingua ndio maana wanaume tunaishia kuwaweka wote kwenye kundi moja.
Vijana wa kike ambao kweli mnaitaka ndoa mjifunze, kamwe hamuwezi kuwa sawa na wanaume, umezalishwa, kinachofuata ni stigma ya usingo maza wakati mwenzio anapata kirahisi mchumba ambaye hajawahi kuzaa na kufunga nae ndoa.
Wanawake wanaowatetea singo maza ndio kusema hawajui thamani ya mwanamke ina shuka kila siku jinsi umri unavyosogea, na akizaa bila ndoa ndio thamani inazidi kuporomoka.
Sijaoa bado ila hata ukinipa milioni kumi sioi single mama[emoji2][emoji2][emoji2] jamaa kaingia cha kike unaweza ukaona ndo huyo huyo humu kwenye comment anadai anaisha maisha ya furaha na huyo single mother ambaye unajipigia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mzazi mwenzake yupo hai, ni suala muda tu mkuu
NdioKwahiyo single dad wapo vizuri sana? Wake zao hawaumizwi na viporo wanavyo pasha nahuko na wazazi wenzao huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] mambo yakuitwa anko wakati uwezekano wa kuitwa baba upo ni ujingaMie nilikuwa nikimpigia simu akimpa mtoto simu anamwambia msalimie mjomba! Nikaona kama Mimi naitwa uncle kuna anaeitwa baba! Nikajikata ingawa haikuwa rahisi Sana kuvunja mahusiano
Sasa kama amezaa na wababa wawili tofauti hapo itakuwajeKwa sababu huna uelewa nayo haya mambo elewa hivyo hivyo, yaani unamchukulia mtoto kiurahisi tuu, mtoto ndio kiunganishi cha upendo na hawezi kumsahau Ex wake maana ana mtoto wake, na lazma wawasiliane ili baba ajue maendeleo ya mtoto wake, ukikua utajua tuu maliza chuo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app