Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Nying ulizoorodhesha hapo ni kauli zinazotolewa na watu wenye vitabia flan flan hv vya kulinganisha wapenz wao na watu wengine haijalish ni single maza, mjane, mtalaka etc...

Mwanamke mwenye tabia hii atakulinganisha na yeyote ili mrad afikishe ujumbe wake hata kama sio single maza atakulinganisha na ex wake... utaskia nlivyokua na flan kila siku alikua ananifanyia kitu flan yan sitamsahau ktk maisha yng...

Kama hana ex basi atakulinganisha hata na mume wa jiran yake utaskia flan amepata mwanaume anamfanyia hv na hv yaan ili mrad tu bila kukulinganisha haoni kama anaweza kueleweka

Mwanamke wa namna hii ni ngumu sana kudeal nae na ukimkuta ni single maza ndio inaamsha hasira zaid

Kuna single maza nlishawah kupita nae alikua ananlinganisha na baba wa mtoto wake in positive way bila kuzua taharuk mf. hata alienizalisha hajawah kunikojoza namna hii hiki kitombo cha leo sio cha sayari hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahawezi kukulinganisha na maex wake wengine, anakulinganisha na BABA WA MTOTO WAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizani kama dhumuni la mleta mada ni kuwadhalilisha singo maza bali ni kuelimisha vijana wa kiume na wa kike.

Wote tunajua sio singo maza wote wapo hivyo, lazima kuwe na exceptions lakini tatizo ni kwamba % kubwa ya singo maza wanazingua ndio maana wanaume tunaishia kuwaweka wote kwenye kundi moja.

Vijana wa kike ambao kweli mnaitaka ndoa mjifunze, kamwe hamuwezi kuwa sawa na wanaume, umezalishwa, kinachofuata ni stigma ya usingo maza wakati mwenzio anapata kirahisi mchumba ambaye hajawahi kuzaa na kufunga nae ndoa.

Wanawake wanaowatetea singo maza ndio kusema hawajui thamani ya mwanamke ina shuka kila siku jinsi umri unavyosogea, na akizaa bila ndoa ndio thamani inazidi kuporomoka.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ambao mmeoa singo maza mnatokwa na povu sana, pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaoa na sitaoa single mother, ila sina chuki na nao kiasi cha kuwazulia visa vya uongo, ni immaturity ya hali ya juu sana, nadhani angekukosoa mwanamke ungemuita ni single mother, sio kila mtu anachuki nao,

Pengine unasumbuliwa na stress za maisha na unakuja kushambulia single mother mtandaoni ili kujifariji, pole sana
 
Nilitokea kumuelewa huyu binti hata kama ni singo maza, Ila imepita siku moja tokea nimtongeze na akaanza yake
" Mtoto leo ucku ataki ugali anataka chips ukija kunisalimia uje na chips. Nikamjibu ninazalula leo sitafika.
Ikawa anapenda kuniomba ela sana nikaona ni quit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaoa na sitaoa single mother, ila sina chuki na nao kiasi cha kuwazulia visa vya uongo, ni immaturity ya hali ya juu sana, nadhani angekukosoa mwanamke ungemuita ni single mother, sio kila mtu anachuki nao,

Pengine unasumbuliwa na stress za maisha na unakuja kushambulia single mother mtandaoni ili kujifariji, pole sana
Sasa niwazulie visa wakati nishawahi kua nar na ishanitokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaoa na sitaoa single mother, ila sina chuki na nao kiasi cha kuwazulia visa vya uongo, ni immaturity ya hali ya juu sana, nadhani angekukosoa mwanamke ungemuita ni single mother, sio kila mtu anachuki nao,

Pengine unasumbuliwa na stress za maisha na unakuja kushambulia single mother mtandaoni ili kujifariji, pole sana
SOMA COMMENT YA HUYU JAMAA HAPA CHINI UTAELEWA MAANA NAONA KAMA UNAPANIC

Sizani kama dhumuni la mleta mada ni kuwadhalilisha singo maza bali ni kuelimisha vijana wa kiume na wa kike.

Wote tunajua sio singo maza wote wapo hivyo, lazima kuwe na exceptions lakini tatizo ni kwamba % kubwa ya singo maza wanazingua ndio maana wanaume tunaishia kuwaweka wote kwenye kundi moja.

Vijana wa kike ambao kweli mnaitaka ndoa mjifunze, kamwe hamuwezi kuwa sawa na wanaume, umezalishwa, kinachofuata ni stigma ya usingo maza wakati mwenzio anapata kirahisi mchumba ambaye hajawahi kuzaa na kufunga nae ndoa.

Wanawake wanaowatetea singo maza ndio kusema hawajui thamani ya mwanamke ina shuka kila siku jinsi umri unavyosogea, na akizaa bila ndoa ndio thamani inazidi kuporomoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nilikuwa nikimpigia simu akimpa mtoto simu anamwambia msalimie mjomba! Nikaona kama Mimi naitwa uncle kuna anaeitwa baba! Nikajikata ingawa haikuwa rahisi Sana kuvunja mahusiano
 
Kwa sababu huna uelewa nayo haya mambo elewa hivyo hivyo, yaani unamchukulia mtoto kiurahisi tuu, mtoto ndio kiunganishi cha upendo na hawezi kumsahau Ex wake maana ana mtoto wake, na lazma wawasiliane ili baba ajue maendeleo ya mtoto wake, ukikua utajua tuu maliza chuo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama amezaa na wababa wawili tofauti hapo itakuwaje
 
Kuoa single mother ni sawa na kuonja sumu .
Mimi single mother hata kuwa nae katika mahusiano tu siwezi kwa sasa sembuse kuoa kabisa.
Kwa sasa nikitokea mwanamke swali namba moja ni je ana mtoto kama ikiwa ndio nakata mawasiliano kimya kimya .
Single mother wengi wao ni poison.
 
Back
Top Bottom