Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Lakin kwanin mnakremisha.. viumbe tunatofautiana ubaya wa mmoja sio kwa wote mkuu. Kuna single mothers wako poa ile mbaya, unaweza juta why ulichelewa.
 
Kila kitu kina uzuri na ubaya wake! Kwa mamario nadhani singo maza ni bora kuliko dogodogo maana wanajua care! Nanyi Vijana mnaniuzi mara mnataka free P wakati huo huo awe bikra, je matumizi ayapate wapi? Unatakiwa uchague ule peke yako hivyo ugharamie au free p ukubali kushare
 
Kwangu mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa.

Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo.

Wengine mtasema mimba bahati mbaya! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! Bahati mbaya acheni utani.

Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba. Binti ameendekeza chips na hela za wakware mimi nije kukuoa na mtoto wako eh!

Najua mtasema na wanaume wenye watoto, je hao wamechukua watoto nyie mbona waliowazalisha hawajachukua watoto?

Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu.

NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.

Wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh!

Poleni single mother.
 
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
 
Ila jamani kufika miaka kama 15 ijayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kwa hiyo kuja kuwa mababa wa kambo mtakuwa mnatuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.
 
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?

tatizo sio mtoto kama akiwa mjane

ila hawa wengine wapite mbali kabisa
 
Ila jamani kufika miaka kama 15 ujayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kuwa mababa wa kambo mtakuwa na tuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.

uko sahihi mkuu kwa WAJANE hamna shida kwa sababu naamini hawakupenda
ila hawa waliopata kwa kupenda kwao hapana aisee.
kuna wengine hawataki kutumia kinga mwisho wanapata mimba
 
Back
Top Bottom