makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Lakin kwanin mnakremisha.. viumbe tunatofautiana ubaya wa mmoja sio kwa wote mkuu. Kuna single mothers wako poa ile mbaya, unaweza juta why ulichelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikiachikaWw mwenyewe singo maza.maaninaa
Mmh. Sasa Mkuu hapo makombo mtoto au mwanamke?Kwanza unaanza vipi kulea mtoto wa jamaa mwenzako. Yan haitakiwii kabisa makombo ya nini mimi!
KeMmh. Sasa Mkuu hapo makombo mtoto au mwanamke?
Makombo mwanamke. Mtoto wa nyongeza. Inaitwa buy 1, get 2.Mmh. Sasa Mkuu hapo makombo mtoto au mwanamke?
Mmh. Ke kiaje Mkuu wakati kuna wanawake hawana watoto ila wametumika hatari.
Makombo kiaje nielewesheni basi?Makombo mwanamke. Mtoto wa nyongeza. Inaitwa buy 1, get 2.
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.
Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.
Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Si mwanamke keshazalishwa... Huyo anakuwa keshakuwa yuzdii!Makombo kiaje nielewesheni basi?
Sasa huyo ni kombo la waziwazi kabisMmh. Ke kiaje Mkuu wakati kuna wanawake hawana watoto ila wametumika hatari.
Au hayo hayawi makombo?
Hahahaa. Wacheni hizo mawazo bana.tatizo sio mtoto kama akiwa mjane
ila hawa wengine wapite mbali kabisa
Ila jamani kufika miaka kama 15 ujayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kuwa mababa wa kambo mtakuwa na tuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.