emmsim
Member
- Dec 7, 2017
- 68
- 46
Nakubaliana na ww kwa swaala la kumuomba Mungu ila msimbe!!!, Daaaah! Akili ina stuck kabisa Mkuu!!Umeona sasa Mkuu. Tukiwaza kwa undani sana ni kuomba Mungu tu akuonyeshe mwanamke aliye bora iwe ni Single mother ama la.
Sababu mwisho wa siku ukiingia pabaya unaweza juta Mkuu.