Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Kabisa kiwango cha ubinafsi ni kikubwa kuliko ubinafsi wenyewe binafsi nipo muwaza sana ikija masuala haya ya msingi kabisaIt always begins with you.
Kila mtu akielewa hii mambo mengi yangekuwa hayaleti shida,
Wanaume tuache kuzalisha mtu ambae huna future nae....ila tatizo ubinafsi mwingi kizazi hiki.
Vijana wastaarabu ni wachache sana mkuu