Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
It always begins with you.

Kila mtu akielewa hii mambo mengi yangekuwa hayaleti shida,

Wanaume tuache kuzalisha mtu ambae huna future nae....ila tatizo ubinafsi mwingi kizazi hiki.
Kabisa kiwango cha ubinafsi ni kikubwa kuliko ubinafsi wenyewe binafsi nipo muwaza sana ikija masuala haya ya msingi kabisa
Vijana wastaarabu ni wachache sana mkuu
 
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Njoo kwangu mi sina restrictions
 
Mengine yako kineema zaidi za mwenyezi Mungu japo na sie tuna nafasi yetu pia
Kweli kabisa yaani na nafasi ni ile hali ya kupewa uwezo wa kuchagua mchele upi na kapi lipi halafu hayo mengine unamuachia aliye juu.
 
haya mambo ndio mm yananichangayaga sana
Mimi yana niumizaga.

Unakuta dada mzurii unampenda halaf ana katoto kake kazuri, kanafanana na dingi yake kweli. Kila ukikaona unakumbuka jamaa alipenya aka kafyatua haka [emoji1].

Yataka moyo, nawapongeza wazazi wa kambo woote, Mungu awabariki sana kwa mioyo ya ujasiri
 
Hamna ndio maana nimelaumu pande zote lakini nasisitiza kina dada kwa sababu you let guys slide in and hanibg their nuts open carelesly. Kuna namna mbali mbali za kuzuia mimba. Wafanye hivo.
Hii kitu imekuwa kubwa sana sku hizi.
Ila asee ss jinsia Me ndio wa kulaumiwa sana,
Hawa wenzetu tunajua kabisa kwanza wako na true feelings kiasi hadi akakubali kukuruhusu umuingilie tena bila kinga,

Ni kwann unaacha mbegu wakati unajua kabisa mm huyu sitamuoa wala kuishi nae hivyo itabidi aolewe na mwanaume mwingine,

....its better to pull out asee, japo sio rahisi na tatizo kwa hawa jinsia Ke ni uzembe wa kutokujua mzunguko wa hedhi,
 
Kweli mkuu yaani badhi ya mabinti wameona kuzaa ni fashion mfano mtu anazaa mtoto wa kwanza hajifunzi anazaa tena wa pili.
Mkuu mimi binafsi naona watoto ni taasisi muhimu sana tusiwalete kimazoea zoea tu hapa dunia
Children are the Future they are the Future
Sasa hawezi kuwa future Kama mama anamlea peke yake.
 
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Pointless aiseee
 
Ila asee ss jinsia Me ndio wa kulaumiwa sana,
Hawa wenzetu tunajua kabisa kwanza wako na true feelings kiasi hadi akakubali kukuruhusu umuingilie tena bila kinga,

Ni kwann unaacha mbegu wakati unajua kabisa mm huyu sitamuoa wala kuishi nae hivyo itabidi aolewe na mwanaume mwingine,

....its better to pull out asee, japo sio rahisi na tatizo kwa hawa jinsia Ke ni uzembe wa kutokujua mzunguko wa hedhi,
Sasa we mwenyewe mwisho ume maliza, uzembe wa sista utafanya wewe uki burst in ka zygot katokee. Akiwa careful hiyo wewe hata ufanyaje huji kumpa mimba.
Nina ndugu yangu aliolewa akiwa na miaka 34, hakuwa na mtoto. Because she was carefull siyo kwakuwa hakuwahi kuwa na ma bf.
 
Mimi yana niumizaga.

Unakuta dada mzurii unampenda halaf ana katoto kake kazuri, kanafanana na dingi yake kweli. Kila ukikaona unakumbuka jamaa alipenya aka kafyatua haka [emoji1].

Yataka moyo, nawapongeza wazazi wa kambo woote, Mungu awabariki sana kwa mioyo ya ujasiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iceman 3D yaani unakuwa unawaza sana
 
Back
Top Bottom