Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hao wenye watoto ndio nawataka kwasababu hamuwezi kuhangaishana kwenye mpango Wa kufyatua
 
Hakuna shida wewe kula tu mzigo akigusia mambo ya kuolewa wewe sepa alfajiri na usirudi.
akikukamata vilivyo na wajanja kweli wagumu kuzaa na wewe anataka utunze Kwanza huyo mtoto wa jamaa mwingine. duh.
 
Huyo ukimuoa ni lazima atakusaliti,mke bora wa kuoa ni bikra tu
 
Huyo ukimuoa ni lazima atakusaliti,mke bora wa kuoa ni bikra tu
Nonsense kabisa.


Unaogopa kusalitiwa kwa karne hii. Basi wewe siyo mwanaume halisi unamatatizo ya nguvu za kiume.

Mimi nanavyowaza kupata mchepuko na ninavyochepuka ndivyo ninavyojipunguzia presha pindi nikimkuta amechepuka maana najua hakuna mwanamke utamtuliza ndani wewe peke yako, lazima aliwe tu na wanaume wenzako. Ni sawa na ilivyo kwamba hakuna mwanamke atamtuliza mwanaume peke yake, lazima wanawake wenzake wafaidi pia.

Hivyo namuacha achepuke tu maana na mimi nachepuka. Ila thamani yake iko palepale kwangu kama mke wangu.

Wanaogopa kusalitiwa au kumegewa wake zao ni wale ambao wanamchukulia mke kama mama yao, wanamganda kama ruba, kama almasi.

By the way hivi unaoa bikra au unaoa mke.

Tafuta bikra sasa halafu uje ujute ndani.

Asubuhi umwamshe, kupika umwambie, kutandika umwambie, chakula kibichi, biashara hawezi, uongo ndo dili, kuzaa hazai(kizazi hana), kisirani kila siku, furaha haipo. Nakuhakikishia utachepuka tu.

Ukioa mke unaoa taasisi hivyo unatakiwa kuangalia aliekamilika katika idara mbalimbali. Wakileo wanaita 'wife material".

Usiangalie idara moja tu ya ngono(bikra, msambwanda), huyo siyo mke.

Angalia mtu anaweza biashara, mwenye kukufurahisha, asiye na kisirani, mwenye kujituma, mwenye hekima na nidhamu, mwenye kujishusha etc...
 
Back
Top Bottom