mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Mzima? Kwema?Hahahaaa. Yaani ni adimu sana rafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzima? Kwema?Hahahaaa. Yaani ni adimu sana rafiki.
Mzima na kwema pia rafiki. Niaje huko, wazima wote?Mzima? Kwema?
Hahaha sahizi tena ilikuwa siku ile, muda huu nilikuwa natoa hi kwa rafiki yangu wa Jf yupo na changamoto kidogoKama umemaliza majukumu njoo PM
Mimi wanangu nimewaambia kabisa, mtu akiniletea single mother hapa nitamfungulia mbwa!duh hiyo mbaya sana hiyo...
Tuko poa rafiki, salimie Davet [emoji3] [emoji3]Mzima na kwema pia rafiki. Niaje huko, wazima wote?
Ni ukweli mtupu na si aliyezalishwa tu ni hivikuna mzee mmoja mtaani aliniambia ukioa mwanamke mwenye mtoto,umeoa mke wa mtu!!aiseee nikamuangalia yule mzee....
Mkuu sio kila mwanaume ana tabia hiyo uliyotaja hapo juu .Tunasahau ni mara ngapi tumewakung'uta wake za watu, tena kwa kuanza nao mahusiano wakiwa ndoani humo humo
Mbona wengi tu mkuu ww sema haujazunguka tuNa tuombe kweli kweli kuwapata hao mabikra maana ni adimu sana
Kuoa bikiraHaohao waliozaa wapo waliotoa mimba nyingi tu. Baada ya kuzaa mtoto wa kwanza eti ndio akapata funzo, mimba zote zilizofuata ni abortion tu.
Kwa hiyo kipi bora:
- Uoe aliyezaa akafatisha abortions kibao
- Uoe mwenye abortions kibao lakini hajazaa
Kikawaida hisia zipo kwa aliyemzalishahaaaaaa kuna jamaa yangu mmoja aliwahi pata msichana mwenye miaka 22's ana mtoto mdogo sana ananyonyesha jamaa kamsaidia kwa sababu aliyezaa naye kamkataa,sasa jamaa yangu akawa anakaa na yule msichana chumba kimoja lakini alikuwa apigi mambo kwa sababu alikuwa ana mtoto mdogo sana anaogopa kubemenda(as he said),basi siku jamaa yuko mishemishe yule dada akatafuta gari akachukua vyombo vyote anarudi anakuta chumba cheupeeee!!kuanza kumtafuta wakaja kumkamata yule dada kumbe wamerudiana na mshikaji aliyemzalisha..
[emoji111] kweli tupu mkuu mi ninavyojua maumivubya kwanza mwanamke kuyapata huwa yanamfanya atengeneze strong bond kwa huyo aliyempatia mfano akitolewa usichana wake na akizalishwa kwa mara ya kwanza so ukijifanya una huruma sanaaaa jua unamuhifadhia jomba tuYuko sahihi 100%. Mwanaume anaweza kumtunzia mwanaye hapohapo nyumbani kwako, mkeo anatumiwa hela za matumizi ya mtoto. Na tena siku hizi kuna M-pesa ndiyo kabisaaaa!
Mtoto akikua akaanza shule babake anamtembelea shuleni kutunza 'bond'.
Akikua zaidi akafikia kuoa au kuolewa ndipo utaelewa uligeuzwa 'fala' kiasi gani, babamtu atakapokalishwa high table na mkeo! Halafu wanaambiwa walishane keki (ma MC wote si unajua mambo yao ni copy and paste?)
Wakae kwa kutulia huku wakiendelea kunywa maji mengi kupunguza blood pressurekwahiyo vijana walio oa single mother wafanyeje sasa?
Wenye tabia hiyo wapo au hawapo?Mkuu sio kila mwanaume ana tabia hiyo uliyotaja hapo juu .
Umewatoa wangapi hizo bikra acha uongo. Kama wapo wengi( meaning umewabikiri ndio maana unatuhakikishia wapo- wakaolewe na nani na ushawabikiri?Mbona wengi tu mkuu ww sema haujazunguka tu
hahhaha aisee, hii logic yako mkuu.Ni kweli kabisa hata mpira unaanza timu zikiwa hazijafungana 0-0.hakuna mpira unaanza timu moja ikiwa tayari na magoli 2
Au unaonaje chief? Inawezekana?hahhaha aisee, hii logic yako mkuu.
Mimi mojawapo mkuu nimeoa mwenye mtoto na maisha ni mirua kabisa. We tafuta tu asiye na mtoto wapo wengi...