Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
kuna mzee mmoja mtaani aliniambia ukioa mwanamke mwenye mtoto,umeoa mke wa mtu!!aiseee nikamuangalia yule mzee....
Ni ukweli mtupu na si aliyezalishwa tu ni hivi
-mwanke huyo huyo anahisia na mapenzi kwa aliyemtoa bikira.
-mwanamke huyo huyo ana hisia na mapenzi kwa aliyemzalisha .
Kikawaida vitu hivyo viwili ndivyo vitu vikubwa ambavyo wanawake wengi huwa wanakumbuka katika maisha yao kuliko vingine kwa kuwa vina kauwiano kwa kuwa ni ki2 ambacho ame ki experience kwa mara ya kwanza so yule aliyemfanya aexperience huwa anawekwa moyoni tu so ukija oa mwanamke wa hivyo akichepuka usimpige wala kumfojea kwa kuwa umeoa mke wa watu .
 
Baba yangu alishaniambia mwanamke yoyote aliyekwishazaa au kuolewa akaachika hata km unamzidi umri na pesa anakuzidi tu akili...nimefuatilia sana naona kwa ndugu yangu mmoja kaoa kila siku wanawake wa hivyo hivyo pia rafiki yangu wa karibu ndoa yake ina mwaka imekufa ksb ya mke aliyeoa alizalishwa na jamaa hapa hapa mkoani na mwanamke km kawaida anapasha kiporo sijui na jamaa kakonda sana kusuluhisha hakuishi hadi mke alitamka hamtaki mume aliyefunga nae ndoa....so mm hao nawafyeka kuoa watanisamehe
 
Haohao waliozaa wapo waliotoa mimba nyingi tu. Baada ya kuzaa mtoto wa kwanza eti ndio akapata funzo, mimba zote zilizofuata ni abortion tu.
Kwa hiyo kipi bora:
  1. Uoe aliyezaa akafatisha abortions kibao
  2. Uoe mwenye abortions kibao lakini hajazaa
Kuoa bikira
 
haaaaaa kuna jamaa yangu mmoja aliwahi pata msichana mwenye miaka 22's ana mtoto mdogo sana ananyonyesha jamaa kamsaidia kwa sababu aliyezaa naye kamkataa,sasa jamaa yangu akawa anakaa na yule msichana chumba kimoja lakini alikuwa apigi mambo kwa sababu alikuwa ana mtoto mdogo sana anaogopa kubemenda(as he said),basi siku jamaa yuko mishemishe yule dada akatafuta gari akachukua vyombo vyote anarudi anakuta chumba cheupeeee!!kuanza kumtafuta wakaja kumkamata yule dada kumbe wamerudiana na mshikaji aliyemzalisha..
Kikawaida hisia zipo kwa aliyemzalisha
 
Yuko sahihi 100%. Mwanaume anaweza kumtunzia mwanaye hapohapo nyumbani kwako, mkeo anatumiwa hela za matumizi ya mtoto. Na tena siku hizi kuna M-pesa ndiyo kabisaaaa!
Mtoto akikua akaanza shule babake anamtembelea shuleni kutunza 'bond'.
Akikua zaidi akafikia kuoa au kuolewa ndipo utaelewa uligeuzwa 'fala' kiasi gani, babamtu atakapokalishwa high table na mkeo! Halafu wanaambiwa walishane keki (ma MC wote si unajua mambo yao ni copy and paste?)
[emoji111] kweli tupu mkuu mi ninavyojua maumivubya kwanza mwanamke kuyapata huwa yanamfanya atengeneze strong bond kwa huyo aliyempatia mfano akitolewa usichana wake na akizalishwa kwa mara ya kwanza so ukijifanya una huruma sanaaaa jua unamuhifadhia jomba tu
 
Mimi mojawapo mkuu nimeoa mwenye mtoto na maisha ni mirua kabisa. We tafuta tu asiye na mtoto wapo wengi...
 
Mbona wengi tu mkuu ww sema haujazunguka tu
Umewatoa wangapi hizo bikra acha uongo. Kama wapo wengi( meaning umewabikiri ndio maana unatuhakikishia wapo- wakaolewe na nani na ushawabikiri?
 
Back
Top Bottom