Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Nakutafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutafuta.
Basi Haiwezekani kuishi na single motherKama hauna house girl
Hahahah chips yaiHii sawa na kutoa mahari milioni wakati aliyetoa bikra alipewa kwa chipsi tu
Nimekuelewa sana aisee!!Mechi inatakiwa ianze 0-0
Umeongea haswa, cha muhimu mkeo amche Mungu basi.Licha ya masingle mother kurudiana na wazazi wenza hata wale wapenzi waliopoteana kutokana na sababu za kimaisha nao wanarudiana kwa kasi siku hizi
Weka na za walioolewa na single fathersSio mbaya kuwa nao, ila ili kuwatengenesha kabisa na baba Mtoto wake Jitahidi ufanye hili..
Marufuku mkeo kuongea na baba mtoto wake, mnunulie simu house girl baba mtoto akitaka kujua hali ya mtoto wake ampigie house girl, hiyo inaenda sambamba na akitaka kumuona mtoto wake wewe isikuletwe usumbufu wowote, house girl ampeleke huyo mtoto kwa baba yake, kama ni stend sjui guest au hotel aende house girl.
Ni Marufuku mkeo kukutana na baba wa mtoto kwasababu yoyote ile..
Ukiona hataki hilo.. PIGA CHINI OA ASIYEZAA, MUANZE WOTE 0-0
Otherwise utachapiwa tu.
Nikweli, sikuhizi wanawake wanawahi kuzaa kwanza, cha ajabu wanaume wenyewe ndo wanaharibu hawatimizi lengo anaenda kuoa asiyezaa anaacha huyu anajilalamikia pekeake, tatizo lipo kwa wanaumeKwani hao ambao hawajazaa wapo kizazi hiki?
Ni almost 70 ya wanawake walio katika umri wa kuolewa Wana watoto tayari.
Na wao wanasali kila siku wapate ndoa za "mume wa peke yao"
Baada ya hapo yeye anaanza kumtumikia na baba wa mtoto.
Ni Bora uendelee kuzaa tu ukiishi kwenu au ueleweke kuwa wewe unaishi peke yako kuliko kumtesa mtu mwingine
pole sana mkuu kwa kuwa kipofu mbele ya single maza
ni issue ya muda tu, yakikukuta madhira huko usiache kutuletea mrejesho
Hiyo assumption yako ni ya kitoto na wala hujafanya utafiti wa kutosha kuhusu hili.Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?
Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.
Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.
Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama-- wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao
WITO; raha ya soda ukute haijaonjwa
Utakuwa na tatizo mkuu. Yaani ulioa mwanamke mwenye watoto 2 huku were ukiwa huna? Kwann usichukue mdada ambaye hana mtoto?Hiyo assumption yako ni ya kitoto na wala hujafanya utafiti wa kutosha kuhusu hili.
Kwanza nikuulize, jee hawa wanawake wameonjwa na kuzalisha na nani?
Jee matatizo mengi ya ndoa hivi sasa yanatokana na wanawake ambao in single mamas? Au wale ambao mnaona kuwa hawajaonjwa [kwa vile hawana watoto].
Suala la kuoa ni maamuzi ya wawili bila kujali mazingira ambayo wametokea.
Mfano mzuri ni mimi mwenyewe.
kwanza mimi ni mtoto wa dar [nadhani unaelewa maana yangu]
pili- nilichelewa sana kuoa[inawezekana kutokana na utundu mwingi ]
Nilioa miongo miwili sasa na mwanamke niliyomuoa aliwahi kuolewa na alikuwa na watoto.
Wakati ninafanya maamuzi ya kuoa, wale wote walionitakia mema walipinga sana.
Kuna wengine walidiriki hata kunitafutia warembo hasa[simba anapenda kuwinda mwenyewe]
Ukweli nilitekeleza azma yangu nikaoa na baadaye wale watoto wakataka waje kuishi na mama yao[sikuwa na kizuizi]. Niliwalea watoto wale na wote wamemaliza chuo kikuu kuna wengine wameshaolewa.
Mke wangu, wangu amekuwa msuluhishi wa ndoa nyingi za rafiki zangu na katika kipindi chote hiki sijajuta uamuzi wangu wa kumuoa.
Kuna wakati mwingine huwa ninatania kuwa hata tukifa na huko kuzimu kama nitaulizwa nataka mke wa aina gani, bado nitamchagua huyu niliyo naye.