welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Ni mia kwa Mmoja na wanaficha mwanzo tu! yakikolea wanakuwa kama vichaa tena wengi wa single mother huwa ni beba beba tu iwe mdogo au mkubwa wengi wanaongozwa na stresss awe na hela asiwe na hela tabia zinafanana,Nadhani hapa unaongelea wale wadada wa mjini kutwa nzima wako club au wanashinda saloon,hawana mpango.ila kumbuka suala la malezi ni aina ya mwanamke ulie nae.Mama ndio anasiamamia malezi ya watoto kwa 80%.Unaweza kuwepo kama baba na bado mtoto akapotea pia,achana na hizo mentality .kuna wanawake wanajielewa hata kama yuko single ila hawezi onesha mahusiano yake kimapenzi na mtu wake kwa watoto wake.
wanawake wanaojieshimu na wapo peke yao ni WAJANE TU! na hata huja kuolewa tena kama umri unaruhusu.