Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16] tupe mkasa huo

Sent using Jamii Forums mobile app
kulitokea sintofahamu kidogo kati yetu, jambo lililopelekea kutupiana neno hili na lile na kujikuta narusha kibao kiasi. ghafla akajifanya kulalamika kuwa ana bahati mbaya kwani mahusiano yake ya kwanza pia yalikuwa ya kupigwapigwa. nikamwambia aache kunifananisha na mtu mwingine yeyote yule, cha ajabu ndo akatoa jibu hilo kuwa ataachaje kumkumbuka wakati amezaa nae........hapo nikajua hapo kuna tatizo kubwa sana!
 
Kuna siku alisema, ujue mi toka nmeachana na baba xxx, sijawai kua na mtu kwenye mahusiano serious, wew ndo nmeamua kuwa nawew serious, kwanza mwanangu stak niwe kila siku namletea baba mpya, ataniona mama vip,.. Halaf we mwanangu kakupenda sabab umefanana na babake, babake nae handsome kama wew

Kumanina kimoyomoyo, nkasema huyu mwanamke kosa alilofanya ni hili,

Well baada ya kumla sanaaa, nikampiga chin.
 
[emoji3][emoji3][emoji1787]

Ukiusikilza wimbo wa rayvany unaitwa NAOGOPA ndo utaelewa ni nini kamaanisha.
Kumbe mzazi mwenzangu Bado ananipenda,ulipoachana nae alisema anaenda wapi?nitumie namba yake tafadhari[emoji122]jina lake ni colola nilimpa jina la gari sio huo ugonjwa sijui Corona !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karibu.... kwa nini unafanya vitu nyuma ya mgongo wake? Yes, I only trust mama yangu, baba nampenda sana...we meet wakati kila mmoja ana wanae....najua iko siku Mungu atatupa wetu...but hili kwetu sio tatizo kabisa...we really happy 98%...the remaining 2% ni chokochoko za hapa na pale...we understand......(Nimetamani kujua na kujifunza hicho ambacho ulijifunza kwa watu wengine)----- binamu yangu (we grow pamoja kwetu) my anko kid, alizaa na msichana ambae hawakubahatika kuoana, but walikuwa wameishi for long,,, waliachana, watoto akabaki nao.......yes life goes on....he meet a cute one falling mahabani....vikaovikachukua mkondo ndoano hiyooo......tulikuwa friend sana..we had a lots of things hidden....kuna mahali tulinunua shamba pamoja na tulijenga but kila mmoja kivyake........na tuliwekeana mipaka ndani kwa ndani.... wakati ameoa nikamwambia....kaanze upya hii nyumba iwe ya vijana hao wanakua......hakusema kitu,,,mtoto wa 1, wa 2, wa 3.......five kids in total....at the age of 40's....bibie akaanza kuwatenga watoto wa jamaa.....blabla mingi....mie nikauza nyumba yangu, nikabakisha eneo nikajenga vinyumba 4 vinavyojitegemea na kupangisha......sasa jamaa alimwambia mkewe pale pote pake......huwezi amini...nilishtakiwa mpaka mahakamani,,, bahati nlikuwa nna hati kitambo...niliwaacha waliwe pesa na mahakama kwanza....binamu akaiba ofcn,,, kibarua nje.....mkewe ana kazi nzuri tuu....cha kwanza sitaki kabisa hawa watoto wa mwalaya wako (nimenukuu)...kwa kifupi iliniumiza sana...watoto hawana kosa....jamaa ni ndugu yangu kabisa..... ila mateso anayopitia to day...wanawake ni hatari...this time simshauri chochote... tukikutana ntampa mma wa kutosha....off we go.....nilijifunza hapa......wa pili........
Ujue nimekuelewa sana; ila ningekuomba ulitazame hilo kwa upande chanya zaidi (maoni yangu tu)

-Humtendei haki mkeo. Humuamini mkeo; sio kwa sababu amekufanyia jambo lolote baya; bali kwa sababu tu uliona mke wa binamu yako alichokifanya. Kwa nini unamuhukumu mkeo kwa makosa ya wengine? Wewe mwenyewe umesema mkeo yupo fair; anakukumbusha hata kuinvest kwa wanao; unafikiri ni wanawake wote watafurahia hivyo waume zao wawafanyie watoto wao wa nje? Tu-assume basi anasema kiunafiki; ni wangapi wanaweza kupretend kukukumbusha investment za watoto wako?

-Unajenga ukuta kati ya mkeo na ndugu zako (mama na dadaz). Kama wewe humuamini na kumtenga mkeo kwenye baadhi ya mambo; kesho haupo unafikiri ndugu zako watamshika mkono mkeo? You are sending them wrong signals kwamba mke wangu haaminiki wakati hajakukosea dada wa watu; so na wenyewe wataenda naye hivyo hivyo

Wakati mwingine mawazo yetu mabaya huwa yanachangia sana kuharibu ndoa zetu. Imagine unajitahidi kufanya kila unaloweza kwa mwenzio afu unakuja kugundua mwenzako hakuamini na anaishi kimachale na wewe; utajisikiaje? Hakuna kitu kibaya kama kuvunja moyo na trust ya mtu; huyo mkeo unaweza kuja kumbadilisha wewe mwenyewe kwa matendo na maneno yako mabaya. Mkeo ni adui wa watoto wako? Ulishawahi kumwambia mke wangu nataka nifanye hivi kwa wanangu akakasirika?

-Hopefully unasecure na future ya mkeo kama ambavyo unasecure future ya watoto wako. Ni kitu kizuri kabisa unachokifanya; ila sidhani kama ni fair kumficha mkeo. Haya mambo mkeo akigundua na yeye ataanza kuwa mbinafsi; atajiona anatoa tu macho kwa wanae ilhali wewe wa kwako unawajengea future kisirisiri.

Ndugu wanaweza wasiwe na shida kwa watoto wako wa nje; ila kwa mkeo, tena uliyemkuta na watoto afu ndo ukute hujazaa naye; God forbid. (Mungu na awape watoto wenu wa ndoa).

Most of times tunaamini mama wa kambo ni wabaya wanaharibu familia but in your case; wababa wa aina yako ndo wanaweza kuharibu familia. Experience zako zinakufanya uwe over-protective kwa watoto wako. Kiasi ambacho naamini hata kama mnaishi na watoto wako; kuna ile hali mtoto wako akiguswa tu; hutoassume kuwa ni mama anamfunza mwanaye adabu; ila utaona ni "mama wa kambo ameanza". Mwingine ataleta na chakula cha ziada kisirisiri akiamini watoto hawapewi chakula cha kutosha na mama yao. Kitu ambacho mara nyingi huwa kinajenga uadui kati ya mke na watoto. Kama humuamini hivyo mtu; bora tu kubaki na wanao. (Although sijamaanisha umuamini tu mtu blindly). Mungu amekupa amani; usiitafute vita. Assumptions ni mbaya sana
 
Wanawake hawana utu, mwanzo wanajifanya atapenda watoto wako, ukimuoa anabadilika

Siamini hawa viumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
Unfortunately ndoa/familia za kuwa na watoto wa nje huwa zinajengwa na watu wengi. Na mtu yeyote kati ya wahusika anaweza kuharibu ndoa.
*Mama/baba wa kambo anaweza kuwa tatizo
*Mama au baba mzazi akawa ni tatizo (overprotective kwa mwanae au akaleta zile za baby momma/daddy drama)
*Mtoto akawa ni tatizo
*Ndugu wakawa ni tatizo
*Jamii ikawa ni tatizo

Ingawa most of times inaonekana kama mama wa kambo ndo tatizo; mimi binafsi nimeshuhudia ndoa nyingi za aina hiyo ambazo mtoto/watoto ni tatizo; na kama una roho nyepesi ndoa unaiacha. So tusiassume tu kuwa wanawake ndo tatizo
 
Ujue nimekuelewa sana; ila ningekuomba ulitazame hilo kwa upande chanya zaidi (maoni yangu tu)

-Humtendei haki mkeo. Humuamini mkeo; sio kwa sababu amekufanyia jambo lolote baya; bali kwa sababu tu uliona mke wa binamu yako alichokifanya. Kwa nini unamuhukumu mkeo kwa makosa ya wengine? Wewe mwenyewe umesema mkeo yupo fair; anakukumbusha hata kuinvest kwa wanao; unafikiri ni wanawake wote watafurahia hivyo waume zao wawafanyie watoto wao wa nje? Tu-assume basi anasema kiunafiki; ni wangapi wanaweza kupretend kukukumbusha investment za watoto wako?

-Unajenga ukuta kati ya mkeo na ndugu zako (mama na dadaz). Kama wewe humuamini na kumtenga mkeo kwenye baadhi ya mambo; kesho haupo unafikiri ndugu zako watamshika mkono mkeo? You are sending them wrong signals kwamba mke wangu haaminiki wakati hajakukosea dada wa watu; so na wenyewe wataenda naye hivyo hivyo

Wakati mwingine mawazo yetu mabaya huwa yanachangia sana kuharibu ndoa zetu. Imagine unajitahidi kufanya kila unaloweza kwa mwenzio afu unakuja kugundua mwenzako hakuamini na anaishi kimachale na wewe; utajisikiaje? Hakuna kitu kibaya kama kuvunja moyo na trust ya mtu; huyo mkeo unaweza kuja kumbadilisha wewe mwenyewe kwa matendo na maneno yako mabaya. Mkeo ni adui wa watoto wako? Ulishawahi kumwambia mke wangu nataka nifanye hivi kwa wanangu akakasirika?

-Hopefully unasecure na future ya mkeo kama ambavyo unasecure future ya watoto wako. Ni kitu kizuri kabisa unachokifanya; ila sidhani kama ni fair kumficha mkeo. Haya mambo mkeo akigundua na yeye ataanza kuwa mbinafsi; atajiona anatoa tu macho kwa wanae ilhali wewe wa kwako unawajengea future kisirisiri.

Ndugu wanaweza wasiwe na shida kwa watoto wako wa nje; ila kwa mkeo, tena uliyemkuta na watoto afu ndo ukute hujazaa naye; God forbid. (Mungu na awape watoto wenu wa ndoa).

Most of times tunaamini mama wa kambo ni wabaya wanaharibu familia but in your case; wababa wa aina yako ndo wanaweza kuharibu familia. Experience zako zinakufanya uwe over-protective kwa watoto wako. Kiasi ambacho naamini hata kama mnaishi na watoto wako; kuna ile hali mtoto wako akiguswa tu; hutoassume kuwa ni mama anamfunza mwanaye adabu; ila utaona ni "mama wa kambo ameanza". Mwingine ataleta na chakula cha ziada kisirisiri akiamini watoto hawapewi chakula cha kutosha na mama yao. Kitu ambacho mara nyingi huwa kinajenga uadui kati ya mke na watoto. Kama humuamini hivyo mtu; bora tu kubaki na wanao. (Although sijamaanisha umuamini tu mtu blindly). Mungu amekupa amani; usiitafute vita. Assumptions ni mbaya sana
God forbid. (Mungu na awape watoto wenu wa ndoa).I like this....Thank you.. my dearest sister....sio vyote we can share in publicity.......najitambua na ninaelewa ninachokifanya............all in all.....najua wataka kujua na kijifunza kitu........one day I found the secure docs za watoto wake..online.....she is very smart as am...labda ndio maana Mungu alitukutanisha nae......ambazo baba ya wale watoto aliwawekea........so soo....she remind me kufanya kwa watoto wangu....it click me in diff engo......japo mpaka leo hajui if I dig that...na siwezi ingilia her past...nadhani sir God alinistua.....while she told me hiyo issue, nilikuwa nimefanya long ago......I take it upside down.....lets open for all our kids,,,we got 4, ....1 cute daughter n 3 young boys.... we opening for all.........she didnt metion the backward secure.....so what dd think my friend.........she is my lover......one of my house.... I changed everything n put her name....yes we care each....we built our new dream home together.... each docs under our family name......nilifanya haya ili nione kama kuna siku atazitoa......sizihitaji just transparent only......by the way nikajua each and every woman, anayo ya kwakwe pekee, may be na wanawe..... maisha yanasonga tuko na furaha zaidi ya furaha....watoto wamekua......mmoja keshaanza kazi....mmoja chuo....mmoja seconday the last one primary.... yes wanangu wa assets nyingi in background.......... sijawahi wala kufikiri au kukariri.....huyu ni stepmother wa my kids......for sure...watoto wote wanajitambua ...... tumewaunga kwa Damu ya Yesu.......
 
Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).

[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!

Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.

kauli zake zilikua kama :-

1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)

2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake

3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)

4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!

Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.

Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka saivi ninaye ila kila kukicha ni malalamiko juu ya mwanae na kunidai fedha za matunzo ya mwanae wakati mwenza aliyezaa naye yupo, kutwa kucha kunilalamikia juu ya ex wake. SINA MUDA NAYE NITAMPIGA CHINI
 
Back
Top Bottom