Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Tofauti yao ipo sehemu ndogo sana.
Huyu mmoja ni used ila huyu mwingine ni useless.
Useless [emoji15][emoji15][emoji15]
This is a bit excessive.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti yao ipo sehemu ndogo sana.
Huyu mmoja ni used ila huyu mwingine ni useless.
Kama mtu anaweza kutembea na mwanaume kienyeji bila kufuata taratibu za kupima afya inamaana na risk ya kupata maambukizi pia inakuwa ni kubwa au siyo?!
Mwenyezi Mungu zidi kutuepusha na mabaya yote kama ulivyoahidi Baba na vizazi vyetu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kila mwanamke mwenye mtoto hakujitunza kimaadili? Huu utoto umezidi JF!
Hata sababu ya watu kuoa na huijui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwasemi vibaya ma singo mazaz ila wasichana punguzeni kujiweka cheap aisee, mtupa shida sana baadae mkiwa mnalialia humu.
Kama unataka migogoro isiyoisha kwenye ndoa yako oa hao single mother.
una uzoefu katika hili?Kama unataka migogoro isiyoisha kwenye ndoa yako oa hao single mother.
what kama if mwanamke alitegesha mimba?Pambana na hali yako elewa chanzo cha Single Mother ni Mwanaume.
ulaya sio bongoKwa hiyo single mothers hawana haki za kuolewa?mbona ulaya maisha Safi tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna tofauti yoyote ya kimwili na kiumbo ipo kati ya single mother na single girl?Yote hayo ya nini ndugu yangu? Sababu single mother ni dubwana dudu la ajabu rti halipaswi kuolewa?
Wewe oa ambao unawahitaji na wanaooa single mother waache usitake kujua kwa nini wamewaoa.
Kutaka kujua ya nyumba ya pili ni umbea rafiki utagombana na majirani.
hata single mother inawezekana akawa alitoa mimbaAmbao hawajazaa, ni nadra sana atakua hajatoa mimba.