mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Iyo soda inabadilika ladha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee...kwa nini usilee huyo mtoto wewe mwenyeweSIKU NILIKWENDA KUMTAZAMA mwanangu ,,,,NIKAKUTANA na JAMAA ANAYEISHI NA . EX WIFE WANGU....JAMAA KUNIONA , ,,BAADA YA SALAMU alichukuwa GAZETI LA DAILY NEWS ,,KAZUGA ANASOMA HUKU KAJIZIBA USO NA GAZETI...,,NILIKAA ZAIDI YA MASAA 4 ,,BILA MAONGEZI HUKU KAJIZIBA NA GAZETI..... MIMI NIPO BUSY NA MWANANGU TUNAONGEA, ..,KIBAYA ZAIDI JAMAA HANA HATA MTOTO WA DAWA KWA EX WANGU. ..MTOTO NI YULE ,WA KWANGU MIMI ,,,,,hadi naondoka JAMAA KAWEKA GAZETI USONI,,sasa SIKUJUWA alikuwa ANASOMA HERUFI MOJA MOJA,,au ANASOMA KWA STYLE GANI....SINGLE MOTHER GEGEDA ,,,WACHANA NAE....MOYO WAKE UMESHAPATA SUGU, ,HAKUNA TENA PENZI LA KWL KWAKO.....na Mara nyingi BABA MTOTO HUWA HAACHWI....
Sent using Jamii Forums mobile app
Idadi ya watoto na umri wa mtoto wako wa kwanza na hao wengine inatia mashaka...anyway jipe moyo,utashinda!Hata mm pia nilimkuta na mtoto moja na mm niksmzalisha wengine 6 now tuna watoto 7 mtoto wake wa kwanza ana miaka 18 wangu mm ana miaka 16 wa kwanza....Inategemea ni machaguo tuu mzee....sio wote wako hivyo....
121.
Amezaliwa mwaka 2000 march, amemaliza std 7 2013, aliolewa 2015 akiwa na 15 yrs. Mtoto wa kwanza akamzaa 2016 na mtoto wa pili 2019.Uliposema ana miaka 20 alaf ana watoto wawili then ukaja kusema amekua kwenye ndoa kwa miaka mitano. Ikabidi niishie hapo.
Sometimes huwa sipendi ujinga
Hawakufunga popoteKama hawakufunga ndoa kanisani, msikitini au serikalini, una haki ya kuendelea kujisevia!
Uliposema ana miaka 20 alaf ana watoto wawili then ukaja kusema amekua kwenye ndoa kwa miaka mitano. Ikabidi niishie hapo.
Sometimes huwa sipendi ujinga
Kuna binti 20 yrs anawatoto wawili wote wakike mkubwa 4 yrs na mdogo ana mwaka na miezi mitatu.
Sasa mwezi April nikaona sivema binti mzuri kama Huyo aishi peke yake nikajifanya msaidizi wa kusaidiana nae kuendeleza gurudumu LA maisha.
Anakaa na bibi yake so Mimi nikuchangia vimia mia na vibuku vya mahitaji ya kila siku na tunda natunukiwa.
Sasa mwezi may ndugu walianza kumshauri arudi kwa baba wa watoto ili familia isisambaratike, huyu binti alikataa na kudai kuwa miaka mitano ya kuolewa ilikuwa ni ya mateso makubwa kwake hatorudi hata iweje.
Sasa juzi kati amenambia anahitaji kuondoka kwabibi yake na akakae mbali na nyumbani kwasababu ndugu wanampango wa kumlazimisha kurudi kwa mzazi mwenza mwezi July.
Ameomba laki moja ya kwenda kupanga chumba na kuyaanza maisha huko.
Nampenda na ananipenda lakini nahitaji mawazo yenu! Nijilipue tukaishi nae Mbali au nimuache apambane mwenyewe?
Je kutakuwa na kesi ya ugoni kwa siku za mbeleni? Maana jamaa alilipa posa na mkaja wa mama tu.
Naombeni mawazo yenu kama kuna mbadala juu ya suala hili nakaribisha mchango wenu wa mawazo.