Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah pole mi mwenye na single mama hazingui Kama wakoHivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
Kila siku nyie vijana tuna waambia hao watu huwa hawaolewagi!!!! We kula usepe zako. Kwani mbona wachumba wamejaa tu wengi nyie mpaka muwa anzishie wazazi wenu na wajukuuuuu? And this is becoming common now. Nyie oweni tu sisi wazee tutaendelea kuwagongea tuHivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
Kwa hiyo kuchepuka kwako ni kosa la mwanamke aliyekukubalia [emoji16][emoji16][emoji16]Hamna anaeruhusiwa kuchepuka. Sasa kama umetongozwa na mtu mwengine ukamkatalia tatizo liko wapi? Mie nimetongoza nikakataliwa kuchepuka kutatokea wapi?
Tatizo wanawake ni njaa njaa sana.Ukioneshwa kihela uaminifu unapeperukia dirishani.
Hata mkiolewa bado mnawatunuku walio wakataa kuoa single mother ndio mtihani mgumu hapa Duniani.Haya matatizo ya kukutana na singel mothers yasingekuwepo kama kila mwanaume anae dondosha DNA zake angekua baba bora. Unamzalisha mtoto wa mtu unasema si type yako huwezi kumuoa, unategemea ataolewa na nani?
Hivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
Na nyie mtukwepe maana wengine mmeoa mnawasaliti wake zenuSi muwakwepe sasa hao wapiga rungu kwa wizi
Hahahah Dilek huwa unanifurahishaga sana ujue🤩We nae itakuwa sijui ukoje yaani nimekutafakari sijapata jibu. Mke wako kabisa wa ndoa anakwambia maneno kama hayo? Kaanzaje yaani? Ni mkeo halali au mmeokotana?
Sie kuwakwepa ni ngumu ila gatepass mnayo nyie. Mkikaza hamna usaliti utatokea.Na nyie mtukwepe maana wengine mmeoa mnawasaliti wake zenu
Na sie ni vigumu ati, msituchosheSie kuwakwepa ni ngumu ila gatepass mnayo nyie. Mkikaza hamna usaliti utatokea.
HaswaaKwa hiyo kuchepuka kwako ni kosa la mwanamke aliyekukubalia [emoji16][emoji16][emoji16]
kwahio nyie hamuwezi kukaza sio😂Na sie ni vigumu ati, msituchoshe
Unakutanaga na wanaume wanaojielewaDuuuuh..... Wanaume design yako wanapatikana wapi Jamani...maana Mimi nakutanaga na wanaume wanao jielewa...Dooh Mungu usinipe mwanaume Kama Huyu...Mdhaifu..
Pole Kaka...
Mwanamke ki asili ni mmbinafsi na hana huruma ya kumuumiza mwanaume esp. ukimkirimu na kumuonesha penzi la kweli.
Sometime nahisi wanawake wameumbwa wawe katika rush ya kihisia. Awe na mtu msumbufu tu always ndio inampa amani zaidi. Ile hali ya kulalamika mume wangu hivi mara mume kanifanyia vile.
Ukimpa rest mwanamke ni sawa na kumuachia mtoto uhuru bila kum monitor. Lazma atafanya ucenge tu! Na madhara lazma yawe kwako.
Vipi na wewe unatuma sms hadi unakoma wakati ni mume/ mpenzi wa mtu?
Sio mara zote..hata sie ni binadamu ujuekwahio nyie hamuwezi kukaza sio[emoji23]