Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kuna Jamaa ni Broo tuu kwangu kiumri nilifamiana naye kwenye mishe mishe

Mkewe alifariki akamwachia watoto..

Akaoa dem mmoja laini chibonge akiwa na tayar pia naye keshazalishwa, ana mtoto wa drs la tano.

Huyu Jamaa alimuoa huyu dem kwa mahari kubwa, na harusi tulikula.

Jamaa nahuyu demu wakazaa mtoto mmoja tena .

Jamaa mishe mishe zake,kuna wakat anapotea miez hata miwili ..

Mkewe sasa anavyotombwa na Baba mtoto wakee aarrrgghhhhhhhhh

Siku hizi sio singo maza, sio nn... Wanawake wengi waliopo ndoani wanatombeka kirahisi sanaa.

Nadhan ni sababu Mabadiliko ya hali ya hewa[emoji23]

Basi tu wana vichwa vya kuku[emoji23]

Basi tu mambo ya mitandaon na kwenda na wakati[emoji23]

Basi tu waume zao ndio kero[emoji23]

MWISHO WA SIKU, HAMNA SABABU INAYOHALALISHA KUCHEPUKA.
 
Kwanini ume bold hayo maandishi mkuu

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
UNAWEZA KUTAKA KUOA MWANAMKE ASIKUKATAE KWA SABABU YA SHIDA ALIZONAZO (HAPA INAWEZA KUWA UGUMU WA MAISHA, UPWEKE, KISASI CHA USALITI) AKAKUBALI LAKINI KATIKA UHALISIA HAJAKUPENDA TOKA MOYONI MWAKE ILE KUKUPENDA MPAKA KUFA. AKIONA KULE KWA ZAMANI PAME POA UNADHANI NINI KINATOKEA IKIWA WEWE HAJAKUPENDA KWA DHATI YA MOYO WAKE? ANAWEZA KUSHINDWA KUONDOKA MAZIMA ILA ATAONDOKA KWAKO KIHISIA, WE UTAMEGA NA MWINGINE ATAMEGA ZAIDI YAKO (ATAPATA MIMBA AU ATAKULA NA MALI ZAKO ZA JASHO KABISA). AT THE END LAZIMA UFE AU AFE AU ASEPE KWA MTU WAKE WA ZAMANI..........SHUKRANI SANA MWALIMU WANGU WA THEOLOGY ULIYESOMA HENRY MARTIN INSTITUTE KULE UHOLANZI
 
demu aliyetoka kuachwa, kuumizwa, kusalitiwa

Yaan Anakua na kichwa maji... Unajibebea tu ni sawa naaa hutu tudemu tunaojita "Bad girl" ..wakat kiuhalisia sio bad girl wala nn, kanakua ni kaschana kadogo kadogo hakana kazi ya kueleweka, ila kanapenda pombee na anasa, na kwa mantinki hiyo lazima kahitaji kutombwaa na WAKOLO .

Lkn nako kanajiita Bad girl[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakushauri ya ngoswe muachie ngoswe.....
waswahili hawana jema muda mwingine.
 
UNAWEZA KUTAKA KUOA MWANAMKE ASIKUKATAE KWA SABABU YA SHIDA ALIZONAZO (HAPA INAWEZA KUWA UGUMU WA MAISHA, UPWEKE, KISASI CHA USALITI) AKAKUBALI LAKINI KATIKA UHALISIA HAJAKUPENDA TOKA MOYONI MWAKE ILE KUKUPENDA MPAKA KUFA. AKIONA KULE KWA ZAMANI PAME POA UNADHANI NINI KINATOKEA IKIWA WEWE HAJAKUPENDA KWA DHATI YA MOYO WAKE? ANAWEZA KUSHINDWA KUONDOKA MAZIMA ILA ATAONDOKA KWAKO KIHISIA, WE UTAMEGA NA MWINGINE ATAMEGA ZAIDI YAKO (ATAPATA MIMBA AU ATAKULA NA MALI ZAKO ZA JASHO KABISA). AT THE END LAZIMA UFE AU AFE AU ASEPE KWA MTU WAKE WA ZAMANI..........SHUKRANI SANA MWALIMU WANGU WA THEOLOGY ULIYESOMA HENRY MARTIN INSTITUTE KULE UHOLANZI
Sawa tumekusikia kwamba umesoma uholanzi...
 
Yasiyokuhusu achana nayo mkuu mapenzi huwa hayaingiliwi watakamatana wenyewe kaa kimya kama hujui kitu
Kwa umbea wa mtoa mada jinsi alivyomfatilia shemeji yake hawezi kukaa na siri.
 
kweli mkuu unaweza oa ambaye siyo singel mother lakini tabia zake chavu tena za kitisha malaya ile mbaya
Una muda sana aisee.....

Na kwa vile huyu mmoja yuko hivi, ina maana single parents wote wako hivyo? Ninaye rafiki yangu kaoa single parent tena wa watoto wawili wote na baba tofauti lakini ndiyo role model wangu wa ndoa yenye furaha, amani na maelewano. Ni power couple moja matata sana!

Umalaya ni tabia ya mtu na sidhani kama kuna causal relationship kati ya kuwa single parent na umalaya. Wewe oa ambaye siyo single parent lakini kama ni kuchapiwa utachapiwa tu!
 
UNAWEZA KUTAKA KUOA MWANAMKE ASIKUKATAE KWA SABABU YA SHIDA ALIZONAZO (HAPA INAWEZA KUWA UGUMU WA MAISHA, UPWEKE, KISASI CHA USALITI) AKAKUBALI LAKINI KATIKA UHALISIA HAJAKUPENDA TOKA MOYONI MWAKE ILE KUKUPENDA MPAKA KUFA. AKIONA KULE KWA ZAMANI PAME POA UNADHANI NINI KINATOKEA IKIWA WEWE HAJAKUPENDA KWA DHATI YA MOYO WAKE? ANAWEZA KUSHINDWA KUONDOKA MAZIMA ILA ATAONDOKA KWAKO KIHISIA, WE UTAMEGA NA MWINGINE ATAMEGA ZAIDI YAKO (ATAPATA MIMBA AU ATAKULA NA MALI ZAKO ZA JASHO KABISA). AT THE END LAZIMA UFE AU AFE AU ASEPE KWA MTU WAKE WA ZAMANI..........SHUKRANI SANA MWALIMU WANGU WA THEOLOGY ULIYESOMA HENRY MARTIN INSTITUTE KULE UHOLANZI
Daaaah...

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
kweli mkuu unaweza oa ambaye siyo singel mother lakini tabia zake chavu tena za kitisha malaya ile mbaya
Siku hizi mambo yameharibika sana hakuna cha single mother wala nini. Ni kuomba Mungu tu lakini hali wala siyo nzuri. Na kibaya zaidi sisi wanaume tunajitoa kwenye mtanange huu wakati wenyewe pia ndo wahusika wakuu.
 
Kinachonishangaza Most of Single Mothers wao ndio walitendwa wao ndio waliachwa au kutelekezwa.....
Maisha haya!

Umalaya ni Tabia wapo wanaochepuka na hawajazalishwa ilhali wako ndani ya ndoa...
 
Back
Top Bottom