SINGLE MOTHER NI KIPORO. SHAURI LENU.Kiukweli hakuna ubaya kumchumbia single mother na kumuoa huyo mama asiye na mwenzi. Hata kama amezaa, mtoto aliyemzaa na mwanaume mwingine ni baraka kabisa.
Cha muhimu ni kwamba nyote wawili mnapendana na mmejitolea kufanya uhusiano wenu ufanye kazi. Hivyo ukimpata single mother na mkapendana nyote muoe tafadhari hata kama ana watoto watatu oa tu.
Mtume Muhammad ni mfano wa kuigwa hakumuogopa bi Khadija. Jifunzeni kwa huyu mtumishi.
Enyi wanaume waoga acheni ushamba.