Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kiukweli hakuna ubaya kumchumbia single mother na kumuoa huyo mama asiye na mwenzi. Hata kama amezaa, mtoto aliyemzaa na mwanaume mwingine ni baraka kabisa.

Cha muhimu ni kwamba nyote wawili mnapendana na mmejitolea kufanya uhusiano wenu ufanye kazi. Hivyo ukimpata single mother na mkapendana nyote muoe tafadhari hata kama ana watoto watatu oa tu.

Mtume Muhammad ni mfano wa kuigwa hakumuogopa bi Khadija. Jifunzeni kwa huyu mtumishi.

Enyi wanaume waoga acheni ushamba.
SINGLE MOTHER NI KIPORO. SHAURI LENU.
 
Ukishamuoa ndo utajua kwanini yupo single unless kama amefiwa
 
Walishindwa vipi kuolewa na waliowazalisha ? Au ndio walikuw na utoto. Of course ukijipeleka kwa single mother lazima akugande maana anajua alishajiwekea doa. Muoe muweke ndani uanze kuona balaa lake. Wapo wanaobehave , ila wengine ni pasua kichwa tu mkiiingia kwenye ndoa..just kama hawa wasiozaa..wapo wanafaa na wapo wasiofaa.
Niko na mtoto mmoja mbichi safi sana .

Alafu kuna huyu single mother ameniganda ile mbaya. Nipo namwangalia tuu siku napiga chini ni heart attack. Muda umekaa anatumiwa text za mapenzi na baba mtoto wake anaifuta chap mi nazuga sijamuona.

Hapo nakula mzigo tu ila Kusema nimeoa hawa viumbe labda niwe nimekatwa kichwa
 
Wanaotaka kuwaoa...wawaoe tu ila mm binafsi hata kwenye akili zangu hawapo kabisa...yani watt wabichi wanaojielwa wapo nikapambane na hao waliozalishwa na kushindwa kuolewa. Hapana asee.
 
Kwa taarifa yako hao unaowaona kuwa ni watoto wabichi ukiwaoa watakufanya uwe mtu wa kupumua kwa kutumia mashine 😂

Ni vivuruge wakubwa wa akili hasa za wavulana
 
Back
Top Bottom