Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Single mother chenga mi hata sishauri kwa kijana ambaye hajaoa kuoa single mother , hao wanatakiwa wapambane na madanga ya mjini , ukioa single mother hakikisha ana pesa chafu yani weww uwe kibenten

😂😂😂
Umesema na haufuti
 
Kusema hakuna Wanadamu wenye Akili timamu umekosea, kwenye Hii Dunia kila kitu kipo
Sasa huyo mwenye utimamu wa akili atakuwa amethibitishwa na mwenye akili ipi hiyo kwamba ana utimamu wa akili??,,,na huyo atakae tuthibitishia kwamba fulani ana akili timamu,,,yeye atakuwa na zaidi ya hiyo akili timamu??!!!haijawahi,,,hajawahi na haitakuja tokea mtu/binadamu mwenye akili timamu kamwe!!
 
Watu wakujilipua mara nyingi hawatumii Akili ndio maana mwisho hujikuta wametapeliwa au kuingizwa mjini.

Wanawake huanza Kupata mashaka Baada ya kujeruhiwa, na Shaka ndio Akili yenyewe.
Mwanamke ni rahisi kuingia kichwakichwa bila hesabu zozote.

Ni vizuri Watoto wetu wakike tukawafundisha Kutumia reasoning zaidi kuliko emotional (kujilipua)
Wakianza kufanya reasoning vijana watawaweza? Huwa wanakuwa too smart to handle. Reasoning yao hainaga limit, huwa wanaamia mpaka kwenye utaftaji wa kipato. Na akishajua kutafuta pesa inampa nguvu ya maamuzi.
 
Mjane hajawahi kuitwa single mother.
Single mother ni mwanamke aliyezalishwa Kabla hajaolewa na Hana Mume, pili ni Mwanamke aliyetalakiana na mumewe.
Unafikiri kati ya hawa wenye lugha yao na wewe unahisi nani yuko sahihi zaidi?????

Single mother definition and meaning​

Collins Dictionary
https://www.collinsdictionary.com › dictionary › english

Single mother definition: a mother who has a dependent child or dependent children and who is widowed , divorced ,... | Meaning, pronunciation, translations ...

Nb 1: Jaribu kupunguza kiburi na mhemko, kwani huweka ukuta mgumu wakati wa kujifunza.

Nb 2: Nimejaribu kukupa picha pana kuhusu sababu za single mother na siyo kukariri sababu zako.

Nb 3: Single mother kwa nchi yetu inachukuliwa kama ni uhuni,umalaya,upotofu wa maadili,n.k wakati ukipata picha pana haya mawazo ni potofu!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii mada ina ukweli 98% nilishadate na masingle mother 3 wote tabia zao ni Moja! Hamuachi aliyemzalisha, na pia anamfikiria nwanae / wanae kuliko chochote kipaumbele kikubwa ni mtoto wake! Yupi radhi hata akufilisi lakini nwanae apate anachokitaka!
 
Sasa huyo mwenye utimamu wa akili atakuwa amethibitishwa na mwenye akili ipi hiyo kwamba ana utimamu wa akili??,,,na huyo atakae tuthibitishia kwamba fulani ana akili timamu,,,yeye atakuwa na zaidi ya hiyo akili timamu??!!!haijawahi,,,hajawahi na haitakuja tokea mtu/binadamu mwenye akili timamu kamwe!!

Unajua maana ya AKILI?
 
Hii mada ina ukweli 98% nilishadate na masingle mother 3 wote tabia zao ni Moja! Hamuachi aliyemzalisha, na pia anamfikiria nwanae / wanae kuliko chochote kipaumbele kikubwa ni mtoto wake! Yupi radhi hata akufilisi lakini nwanae apate anachokitaka!

Huwezi mtenga Mwanamke na mtoto wake. Ipo hivyo Kwa 99%
 
Unafikiri kati ya hawa wenye lugha yao na wewe unahisi nani yuko sahihi zaidi?????

Single mother definition and meaning

Collins Dictionary
https://www.collinsdictionary.com › dictionary › english

Single mother definition: a mother who has a dependent child or dependent children and who is widowed , divorced ,... | Meaning, pronunciation, translations ...

Nb 1: Jaribu kupunguza kiburi na mhemko, kwani huweka ukuta mgumu wakati wa kujifunza.

Nb 2: Nimejaribu kukupa picha pana kuhusu sababu za single mother na siyo kukariri sababu zako.

Nb 3: Single mother kwa nchi yetu inachukuliwa kama ni uhuni,umalaya,upotofu wa maadili,n.k wakati ukipata picha pana haya mawazo ni potofu!!!!!!!!!!!!!!

Wewe ndio huna unachojua kwenye ishu ya Lugha.
Kiafrika, hakuna msamiati single mother hiyo weka kichwani.

Unapotafsiri Lugha lazima uangalie na mazingira ya unapotafsiria.
Hata Kwa Waarabu hakuna msamiati single mother, Ila kuna mjane na Mtalaka.

Kiafrika, kiarabu single mother inachukuliwa kwamba ni uhuni Kutokana na Mfumo dume uliopo, kwamba Mwanamke hawezi ishi pekeake pasipo ya mwanaume. Na Mwanamke ni lazima Aolewe.

Hiyo ni tofauti na upande wa jamii ya Wazungu.

Hakuna mwanaume anayeogopa kumuoa mjane, lakini wanaume wengi wanaogopa kuoa single mother Kwa tafsiri ya kiafrika
 
Ni kutokana na dhana iliyojengeka, kuwa single M hawezi kuachana kamwe na baba wa mtoto aliyezaa naye.
 
Wewe ndio huna unachojua kwenye ishu ya Lugha.
Kiafrika, hakuna msamiati single mother hiyo weka kichwani.

Unapotafsiri Lugha lazima uangalie na mazingira ya unapotafsiria.
Hata Kwa Waarabu hakuna msamiati single mother, Ila kuna mjane na Mtalaka.

Kiafrika, kiarabu single mother inachukuliwa kwamba ni uhuni Kutokana na Mfumo dume uliopo, kwamba Mwanamke hawezi ishi pekeake pasipo ya mwanaume. Na Mwanamke ni lazima Aolewe.

Hiyo ni tofauti na upande wa jamii ya Wazungu.

Hakuna mwanaume anayeogopa kumuoa mjane, lakini wanaume wengi wanaogopa kuoa single mother Kwa tafsiri ya kiafrika
Wewe ndio huna unachojua
Ndiyo maana nimejaribu kukupa ushauri kuwa jaribu kupunguza kiburi na mhemko kwani hivi vitu huweka ukuta mgumu sana wakati wa kujifunza.

a) Hiyo elimu kuhusu msamiati wa 'single mother' unahisi inakutosha na umeiva kiweledi???????

b) Je, upo tayari kujifunza au upo tayari kubishana kuhusu msamiati wa 'single mother'??????????
 
Nishakuambia maana ya single mother ya kizungu na kiafrika ni vitu viwili tofauti bado unataka maelezo ya ziada.

Kiafrika hakuna single mother, Ila Kwa kizazi cha sasa single mother ni mwanamke mwenye mtoto ambaye haishi na Mume, na sio mjane.

Ndio maana nikakuambia humu ndani hakuna mwanaume mwenye shida na mjane, na wanaume wanaposema Single mother wanarejelea maana niliyoitoa Mimi na sio hiyo uliyoinukuu kwenye Kamusi gani sijui.

Uliza humu ndani, single mother ni MTU gani, alafu Subiri upate majibu ya kile wanachomaanisha wanajamii WA kiafrika. Alafu utaona Mimi na wewe Nani amekariri Huko shuleni
 
Back
Top Bottom