Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Anyway Uzi umekata kimatusi na kejeli .
Uzi hauna mzani Ila Kwa Kuwa ni hisia na mtazamo binafsi Acha nikae kimya.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyway Uzi umekata kimatusi na kejeli .
Uzi hauna mzani Ila Kwa Kuwa ni hisia na mtazamo binafsi Acha nikae kimya.
NILIKUWA NAJUA UNA UTASHI NA UWELEDI KWA NAMNA UNAVYOFIKIRI.
NILIKUWA NAWEKA HESHIMA NIKISOMA POST ZAKO.
ONLY TO COME TO REALIZE KUWA WEWE NI MBAGUZI NA UNATUMIA KALAMA YA UANDISHI KAMA “DISGUISE” ILI KUPANDIKIZA CHUKI NDANI YA JAMII YA WATANZANIA
WEWE NI MPUMBAVU KIASI KUMBE?
Anyway Uzi umekata kimatusi na kejeli .
Uzi hauna mzani Ila Kwa Kuwa ni hisia na mtazamo binafsi Acha nikae kimya.
kama ana hela sina tatizo nae kabisa yani, mapema tu jiko linawekwa ndani
Single mother wawekwe kwenye lasimu yakatiba mpya wanazid kua wengi kila leo
Single Father's mtatujadili lini?
Weeeee sio kweliKila mwanamke ni SINGLE MOTHER pale mumewe anapokuwa mbali zaidi ya wiki moja
Ndo kile kisa chako cha desemba 2022 nakikumbuka sana mkuuu tena huyo. Msela yumo humu 😳😁😁😁😁😁😁😁😁 daaah pole mwananguHabari Wakuu
Kumekuwa na uzi nyingi kuhusu single maza wapo ambao wanawatetea na wengine wanawaponda. Mimi ni mmoja Kati ya waanga wa single maza kiukweli ni mtihani mgumu kudumu nao na hii imechangiwa na wao kuwa na akili fupi kwa asilimia kubwa labda mtu alizaa nae awe amekufa, ngoja niwape kilichonikuta.
Ndugu zangu nilimpenda mdada mmoja herufi yake inaanzia J Tena nilimkuta ana mimba ina miezi mi3 na niliona siku nimekutana nae kwenye meet tukaa chini ndio akanieleza na kuniambia huyo mtu aliyempa mimba ameikacha na ameamua kumove on ananionesha hadi message za mazungumzo yao yakionesha kweli mdadda kamove on, na sometimes aliniomba niongee na huyo aliyemzalisha baada ya kuona anamsumbua ili asimfuatilie kabisa.
Baada ya kunithibitishia wameachana nikaona niwe nae kwenye mahusiano na kiukweli nilimsaidia mpaka anajifungua na mahusiano yetu yalikuwa ya moto nikaona kabisa hapa nimepata mtu by the way mimi kwenye maisha yangu yote sijawahi kuwa na mahusiano mawili kwa wakati mmoja yeye alikuwa pekee ndugu nilitoa sana kwake kuanzia muda mpaka kifedha na yeye alinipa mapenzi yakutosha Sana.
Baada ya kupita muda kidogo hapo akiwa tayari ameshajifungua mtoto ana miezi mi4 manzi nikawa si muelewi kabisa na nikaona kuna mabadiliko nayaona kwanza akawa hanitafuti, nikimpigia simu zangu hapokei, na kuanza uswahili wa mambo mengine.
Siku moja nilimpigia simu nikashangaa kapokea mzazi mwenzake jibu alinipa ni kuwa nipo na mama watoto amelala acha kusumbua watu mkuu ilinikera Sana ile kauli nikakata simu wakati huyu manzi aliniambia ameenda kwenye msiba wa ndugu yake kumbe yupo ghetto la mzazi mwenzake. Imepita muda mchache nikakuta nimetumiwa picha mzazi mwenzake yupo na huyo manzi wangu wakipigana mabusu nilijua kabisa aliyotuma hivyo ni yule mzazi mwenzake nikama vile anatafuta bifu na mimi maana number ilikuwa ngeni kwangu na picha nyingine alimpiga akiwa uchi kalala kiupande nadhani ilipigwa bila yeye ( manzi ) kujua maana alikuwa amelala ndugu zangu sikuwahi kuwa kwenye maumivu kama yale kwenye mapenzi aisee kumbuka hapo sijafanya nae mapenzi maana nilimpa muda arecover hali yake ndio niombe mechi
NB: imagine demu nimemvumilia akiwa ana mimba na kipindi chote hicho sikuwa na manzi mwingine au kufanya mapenzi na mtu mwingine alafu the end of the day anakupiga na kitu kizito kiasi hicho
Habari Wakuu

Weeeee sio kweli
Hapo umeongea urongo