Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Anyway Uzi umekata kimatusi na kejeli .

Uzi hauna mzani Ila Kwa Kuwa ni hisia na mtazamo binafsi Acha nikae kimya.
 
NILIKUWA NAJUA UNA UTASHI NA UWELEDI KWA NAMNA UNAVYOFIKIRI.

NILIKUWA NAWEKA HESHIMA NIKISOMA POST ZAKO.

ONLY TO COME TO REALIZE KUWA WEWE NI MBAGUZI NA UNATUMIA KALAMA YA UANDISHI KAMA “DISGUISE” ILI KUPANDIKIZA CHUKI NDANI YA JAMII YA WATANZANIA

WEWE NI MPUMBAVU KIASI KUMBE?
 
Umekaa kiubaguzi sana.

Single mothers wapo waliobakwa wakiwa watoto, wapo waliolazimishwa ndoa na badae wakaacha na waume zao leo wanapambana kivyao.

Mimi sioni kama ni sawa kuleta chuki na taharuki kiasi hiki ndani ya Jamii.

Huna tofauti na wale kataa ndoa kataa ualimu na wengine

Taikon wa upumbavu
 
NILIKUWA NAJUA UNA UTASHI NA UWELEDI KWA NAMNA UNAVYOFIKIRI.

NILIKUWA NAWEKA HESHIMA NIKISOMA POST ZAKO.

ONLY TO COME TO REALIZE KUWA WEWE NI MBAGUZI NA UNATUMIA KALAMA YA UANDISHI KAMA “DISGUISE” ILI KUPANDIKIZA CHUKI NDANI YA JAMII YA WATANZANIA

WEWE NI MPUMBAVU KIASI KUMBE?

Ubaguzi gani hapo?
Hii Dunia hakuna ambaye sio ubaguzi, inategemea na Aina ya ubaguzi.
 
Habari Wakuu

Kumekuwa na uzi nyingi kuhusu single maza wapo ambao wanawatetea na wengine wanawaponda. Mimi ni mmoja Kati ya waanga wa single maza kiukweli ni mtihani mgumu kudumu nao na hii imechangiwa na wao kuwa na akili fupi kwa asilimia kubwa labda mtu alizaa nae awe amekufa, ngoja niwape kilichonikuta.

Ndugu zangu nilimpenda mdada mmoja herufi yake inaanzia J Tena nilimkuta ana mimba ina miezi mi3 na niliona siku nimekutana nae kwenye meet tukaa chini ndio akanieleza na kuniambia huyo mtu aliyempa mimba ameikacha na ameamua kumove on ananionesha hadi message za mazungumzo yao yakionesha kweli mdadda kamove on, na sometimes aliniomba niongee na huyo aliyemzalisha baada ya kuona anamsumbua ili asimfuatilie kabisa.

Baada ya kunithibitishia wameachana nikaona niwe nae kwenye mahusiano na kiukweli nilimsaidia mpaka anajifungua na mahusiano yetu yalikuwa ya moto nikaona kabisa hapa nimepata mtu by the way mimi kwenye maisha yangu yote sijawahi kuwa na mahusiano mawili kwa wakati mmoja yeye alikuwa pekee ndugu nilitoa sana kwake kuanzia muda mpaka kifedha na yeye alinipa mapenzi yakutosha Sana.

Baada ya kupita muda kidogo hapo akiwa tayari ameshajifungua mtoto ana miezi mi4 manzi nikawa si muelewi kabisa na nikaona kuna mabadiliko nayaona kwanza akawa hanitafuti, nikimpigia simu zangu hapokei, na kuanza uswahili wa mambo mengine.

Siku moja nilimpigia simu nikashangaa kapokea mzazi mwenzake jibu alinipa ni kuwa nipo na mama watoto amelala acha kusumbua watu mkuu ilinikera Sana ile kauli nikakata simu wakati huyu manzi aliniambia ameenda kwenye msiba wa ndugu yake kumbe yupo ghetto la mzazi mwenzake. Imepita muda mchache nikakuta nimetumiwa picha mzazi mwenzake yupo na huyo manzi wangu wakipigana mabusu nilijua kabisa aliyotuma hivyo ni yule mzazi mwenzake nikama vile anatafuta bifu na mimi maana number ilikuwa ngeni kwangu na picha nyingine alimpiga akiwa uchi kalala kiupande nadhani ilipigwa bila yeye ( manzi ) kujua maana alikuwa amelala ndugu zangu sikuwahi kuwa kwenye maumivu kama yale kwenye mapenzi aisee kumbuka hapo sijafanya nae mapenzi maana nilimpa muda arecover hali yake ndio niombe mechi

NB: imagine demu nimemvumilia akiwa ana mimba na kipindi chote hicho sikuwa na manzi mwingine au kufanya mapenzi na mtu mwingine alafu the end of the day anakupiga na kitu kizito kiasi hicho
 
Ndo kile kisa chako cha desemba 2022 nakikumbuka sana mkuuu tena huyo. Msela yumo humu 😳😁😁😁😁😁😁😁😁 daaah pole mwanangu
 
Hamna haja ya kulalamika, chukua hatua

Usiingie kwenye mahusiano na singlemother
Usizae na mwanamke ukamwacha maana utakua mtengenezaji wa singlemother

Kuendelea kulalamikia mambo yaliyo ndani ya uwezo wako wa maamuzi yanaonyesha ulivyo mwanaume dhaifu
 
Kwa ambao hawajui mwanzo wa hichi kisa someni hapa 👇👇👇👇👇👇👇👇
 
Unatakiwa uwe mwehu Kudate seriously na single mother hata kama anakuonyesha mapenzi ya aje..... Unless aliyemzalisha Kwa mda huo hadindishi au amekufa... Ni suala la mda tuu utaanza kuona mapicha picha..... Hao ni kukaa nao mguu pande filimbi ikilia tuu huyoo unachora
 
Back
Top Bottom