Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Nilitehemea awe mpatanishi na kiungo mchezeshaji wa bunge zima ili bunge lifanye kazi yake vizuri.Spika amekuwa mtu wa vijembe,majungu na mipasho kama waimba taarabu.Hakika spika huyu siyo bure kuna namna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja,in any action there is an equal and opposite reaction!!! Leo kutavurugika tu,atapigwa kijembe ambacho atafukuza mtu bungeni!!
 
Huyu jamaa huwa anavuta sio bure
Si aliwahi kupiga MTU na gongo kipindi kile akaja akaumwa nusura wamtoe roho
Nakumbuka, alimzimisha mtu na wala hakuchukuliwa hatua zozote
 
Tatizo ni hiyo pumzi anayopewa bure
Ikikatishwa tu wenzake wataacha ujinga
 
Spika wa Bunge ni mtu muhimu sana kama walivyo wakuu wa mihimili mingine miwili. Na yeye umuhimu wake zaidi ni kwa kuwa anasimamia chombo ambacho ni sauti ya wananchi wote wa nchi hii.

Matendo aliyoonyesha leo pamoja na kauli zake kutokana na tweet ya Zitto imeonyesha ana uwezo mdogo sana wa ufahamu na ameaibisha bunge kwa kiwango cha juu pengine zaidi ya maspika wote walio pata kufanya kazi tokea Uhuru.

Kauli za wabunge nje ya Bunge zinakutiaje hasira kiasi hicho mpaka uingilie haki ya mbunge ndani ya Bunge kwa ubabe na vitisho utadhani ni mechi ya masumbwi?

Ni wazi huyu hana mshauri mwelekezi, vinginevyo asinge aibisha Bunge na nchi kwa ujumla namna hii. Kama Spika huwa hana washauri basi ni wazi wanahitajika waajiriwe haraka kabla hiki "kichaa cha madaraka" hakijaleta uharibifu zaidi.
 
Mkuu hebu weka hizo kauli zake tuzione basi.
Halafu mbona umeleta hoja nyepesi sana ???
Mwenendo wa wabunge wote akiwa ndani au nje ya bunge pamoja na hali zao zinamhusu Spika moja kwa moja.
Leo hii mbunge akikamatwa kwa kuvunja Sheria Kanuni za Kudumu za Bunge zinamruhusu Spika kuingilia.

NB: Usisahau kwamba mbunge moja hubeba sifa ya bunge zima, hivyo akifanya kitu kibaya na bila kukanywa bunge zima linaweza kudharaulika. Mfano mzuri ni ambavyo Wabunge wa hovyo kama Msukuma na Kibajaji wanavyodharaulisha bunge zima.
 
Kwakweli tusiishie kumshauri huyo mzee bali pia tumuombee aingiwe na roho ya hofu ya Mungu maana sio kwa ubabe alioutangaza leo.

Ndugai jifunze kwa Nape,Wassira,Chawene nk
Juatu kwamba uwepo wakohapo na hilo joho nisuala la mapenzi ya Mungu hivyo usijivishe uungu kwakusema "usibishane na Ndugai hutamuweza"

Jirekebishe mzee acha kujisahau wapo walioifanyia CCM kazi nzito wala wewe huwakaribii ubora wao ila ishakula kwao
 
Mkuu hebu weka hizo kauli zake tuzione basi.
Halafu mbona umeleta hoja nyepesi sana ???
Mwenendo wa wabunge wote akiwa ndani au nje ya bunge pamoja na hali zao zinamhusu Spika moja kwa moja.
Leo hii mbunge akikamatwa kwa kuvunja Sheria Kanuni za Kudumu za Bunge zinamruhusu Spika kuingilia.

NB: Usisahau kwamba mbunge moja hubeba sifa ya bunge zima, hivyo akifanya kitu kibaya na bila kukanywa bunge zima linaweza kudharaulika. Mfano mzuri ni ambavyo Wabunge wa hovyo kama Msukuma na Kibajaji wanavyodharaulisha bunge zima.

HAKUNA KITU KIBAYA DUNIANI KAMA UTUMWA WA KIFIKRA AFADHALI UTUMWA WA MINYORORO......So mbunge akitaka kuoa au kumpa mwanamke mimba lazima aampe taarifa spika?mbunge akitaka kujiunga na twitter,viber,facebook,fuckbook,pornhub,instagram,periscope,Snapchat lazima aombe ruhusa kwa spika???Mbunge ingawa ni public figure anamaisha yake binafsi kama mimi na wewe pia anauhuru wake binafsi ..Spika ameonyesha mapungufu ya uongozi kwa kiasi kikubwa anashindwa kubalance bunge linataka nini na raisi anataka nini lakini mwisho wa siku yeye ni spika anapaswa kusimamia misingi ya bunge si kuyumbishwa na kina Zitto au Magufuli.
 
Mambo ya Zitto Kabwe ni ya Ndoa au kupeana mimba ???
 
Mkuu hebu weka hizo kauli zake tuzione basi.
Halafu mbona umeleta hoja nyepesi sana ???
Mwenendo wa wabunge wote akiwa ndani au nje ya bunge pamoja na hali zao zinamhusu Spika moja kwa moja.
Leo hii mbunge akikamatwa kwa kuvunja Sheria Kanuni za Kudumu za Bunge zinamruhusu Spika kuingilia.

NB: Usisahau kwamba mbunge moja hubeba sifa ya bunge zima, hivyo akifanya kitu kibaya na bila kukanywa bunge zima linaweza kudharaulika. Mfano mzuri ni ambavyo Wabunge wa hovyo kama Msukuma na Kibajaji wanavyodharaulisha bunge zima.

Hivi kuna mbunge anaelidharaulisha bunge kama Chenge?
 
Bunge ni chombo nyeti SNA ktk taifa uendeshwaji wake ufuata utaratibu na kanuni walizojiwekea mh zitto kakosa nidhamu kumsema spika anafuata miongozo toka mhimili mwingine Mara oooh wabunge wazoezi tulikupigania dhidi ya uhujumu toka ikulu, kwa mtizamo wangu nadhani zitto angejitokeza kuomba radhi endapo akikaidi hatua za kinidhamu zichukuliwe na bunge
 
Uzuri mauti huwa haina tabia ya kumuacha mtu.Hata yeye atakufa tu hata awe dictator wa dunuia nzima.Tena huyu anaonekana ataondoka mapema sana.
 
Back
Top Bottom