Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika
Huyu Ndugai amekuwa Mara kwa Mara akiwatisha watu wanao kosoa bunge lao uchwara kuwa ni dhaifu eti tuu kwa kuwa wanayo Kamti yao ya bunge inayo husu Haki Maadili na madaraka ya bunge wasiliseme bunge lao wanalo liita tukufu kwa shetani.

Heshima ya bunge hilo haliwezi kulindwa kwa kuwaburuta watu kwa pingu au kwa hiari waje muwahoji wanapo wakosoa Bali matendo yenu mnayo yafanya mkiwa ndani na nje ya bungendiyo yanayo onesha taswira ya bunge lenu lilivyo na jinsi sisi wananchi tunavyo waona.

Wewe Ndugai ukiwa kama spika Mara kwa Mara umekuwa ukiagizwa na Rais mwenda huko kusiko julikana ambaye ni muhimili tofauti kuwa uwafurushe bungeni wabunge wanao toa mawazo yao tofauti na mawazo ya serikali na kisha serikali itawashughulikia wakiwa nje ya bunge na wewe umekuwa ukitisa bichwa lako kama mgomba kukubaliana na mawazo hayo unataka sisi tuliheshimu bunge hilo?

Sisi ndio tunao walipa mishahara na marupurupu ya kujikinai mnayo pata tunawapima na kuona kuwa hamtoshi na hta mkitumia maguvu gani kutufumba mdomo tunasema bunge hilo ni kituko kuliko maelezo.

Kituko kikubwa ni pale ulipo shangaa sheria kandamizi kwa raia iliyo pitishwa na bunge lako, ukiwa kama spika hukupaswa kushangaa tuu Bali kuachia ngazi babu wew hautoshi ktk kiti hicho.
Umesema ukweli. Ngugai is the most corrupt politician, huyo peleka I Mirembe hospital jamani. Hana akili, Ana akili ya kuhomgwa na wachina ili wachukue nchi
 
Siungi mkono upinzani kususia uchaguzi 2025, wajipange angalau kuongeza viti bungeni, waachane na matumaini fake ya kudhani uongozi wa serikali ukibadilika inatosha
Hapana bila katiba mpya/time Hutu chadema wasiingie kwenye uchaguzi 2025 wabaki na midaharo.
Huwezi kuwa na wabunge wachache wenye nia njema na taifa halafu hoja zinadhofishwa
 
Huyu kama kiongozi na sauti ya bunge amekaa kimya wanapitisha sheria na mipango inayowaumiza watanzania bila huruma, wabunge wanaohoji anawatisha kuwa wasipopitisha bajeti bunge litavunjwa na hawatarudi. Huyu ni kikwazo na tatizo kubwa nchini.

Niwaombe Makada wenzangu wana CCM, tunakoelekea tutachafuliwa chama chetu kuonekana kuwa hatuna uchungu na watanzania hasa wanyonge, tupate sauti bunge kubadili spika wa bunge, huyu aliyepo hawezi kumudu majukumu yake ni tatizo kwa nchi. Hawapo wabunge kuamua na ni muoga.

Mpaka jambo limfikie Rais na aone kuwa halifai wakati kimepita kwenye mikono ya wawakilishi wao basi bunge halifai kuwepo na halina kazi.
 
Huyu kama kiongozi na sauti ya bunge amekaa kimya wanapitisha sheria na mipango inayowaumiza watanzania bila huruma, wabunge wanaohoji anawatisha kua wasipopitisha bajeti bunge litavunjwa na hawatarudi. Huyu ni kikwazo na tatizo kubwa nchini.

Niwaombe Makada wenzangu wana CCM, tunakoelekea tutachafuliwa chama chetu kuonekana kua hatuna uchungu na watanzania hasa wanyonge,.tupate sauti bunge kubadili spika wa bunge, huyu aliyepo hawezi kumudu majukumu yake ni tatizo kwa nchi. Hawapo wabunge kuamua na ni muoga.

Mpaka jambo limfikie Rais na aone kua halifai wakati kimepita kwenye mikono ya wawakilishi wao basi bunge halifai kuwepo na halina kazi.
Hata huyo raisi ulipita kwake kwakuwa kabla ya kuwa sheria lazima atie saini, ina maana mpaka imekuwa sheria alitia saini kwa hiyo hata yeye alitia saini kitu anachojua. Ila ataishia kuwa hero
 
Huyu kama kiongozi na sauti ya bunge amekaa kimya wanapitisha sheria na mipango inayowaumiza watanzania bila huruma, wabunge wanaohoji anawatisha kua wasipopitisha bajeti bunge litavunjwa na hawatarudi. Huyu ni kikwazo na tatizo kubwa nchini.

Niwaombe Makada wenzangu wana CCM, tunakoelekea tutachafuliwa chama chetu kuonekana kua hatuna uchungu na watanzania hasa wanyonge,.tupate sauti bunge kubadili spika wa bunge, huyu aliyepo hawezi kumudu majukumu yake ni tatizo kwa nchi. Hawapo wabunge kuamua na ni muoga.

Mpaka jambo limfikie Rais na aone kua halifai wakati kimepita kwenye mikono ya wawakilishi wao basi bunge halifai kuwepo na halina kazi.
Hiyo sheria Rais hakushikiwa kibiko kuisain, kabla kuwa sheria inaitwa muswada na wanatunga wenyewe Serikali badala ya majadiliano! Mi kuniambia Rais alikuwa hajui nini kinaenda kukusanywa kwa mwaka huu wa fedha ni uongo! Aliteua mpaka mshauri wake binafsi wa uchumi lakini bado alisain.
 
Mwisho wa siku Ndugai atakuja kushangaa hilo jambo lilipitishwaje wakati mijada yote alikwepo na akawatishia wabunge kwamba bajeti isipopita basi Rais atavunja bunge.

Ndugai bana.
 
Ukiteuwa mtu akushauri jambo nyeti jua tu utamshauri wewe. Maaana wengi wanalinda tonge badala ya kukudhauri hata kama hilo jambo hulielewi.
 
Mwisho wa siku Ndugai atakuja kushangaa hilo jambo lilipitishwaje wakati mijada yote alikwepo na akawatishia wabunge kwamba bajeti isipopita basi Rais atavunja bunge.

Ndugai bana.
... naona akili imeanza kukurudia!
 
Bunge laccm halikua LA wananchi
Aibu aibu tujipange upya
... hakuna Bunge pale ndugu; genge la wahuni wa CCM wanaoitafuna nchi vilivyo! Kama kuna anayedhani wabunge wa CCM wana uchungu na wananchi au nchi akapimwe akili Mirembe!
 
... hakuna Bunge pale ndugu; genge la wahuni wa CCM wanaoitafuna nchi vilivyo! Kama kuna anayedhani wabunge wa CCM wana uchungu na wananchi au nchi akapimwe akili Mirembe!
naunga mkono inaonesha ulikua mpango wa bygonest kuanda muhuri wakumbarikia aongoze milele

Ashukuriwe mwanakondoo wa mungu kwa huduma yakipekee
 
Huyu kama kiongozi na sauti ya bunge amekaa kimya wanapitisha sheria na mipango inayowaumiza watanzania bila huruma, wabunge wanaohoji anawatisha kuwa wasipopitisha bajeti bunge litavunjwa na hawatarudi. Huyu ni kikwazo na tatizo kubwa nchini....
Mkuu hizi sheria za hovyo wanazopitisha haziumizi tu wananchi bali zinaumiza pia wawekezaji na kuvuruga uchumi wa nchi kwa jumla.

Hizi kampuni za simu zikitetereka, hata kile kiwango cha kodi walichokuwa wakilipa kitapungua sana.

Ni mjinga tu anayeweza kukata tawi la mti alilokalia...!
 
Back
Top Bottom