[emoji3][emoji3]Mi wa kwangu alikuwa amesajili laini zake kwa kitambulisho cha kijeba kilichomzalisha so kila nikimtumia hela nahisi kama nakitumia hela hiki kijeba.. Nikaona isiwe kesi jikate kila mmoja ashike hamsini zake
Sasa mpk unamzalisha watoto hao wote utakuwa ushavumilia mengi sana,na kijamaa kilichomzalisha mtoto kitakuwa kishamchezea kitakavyo mpk kikaamua kustafu kwa hiari [emoji3][emoji3]ukishamzarisha na wew watoto wako haina shida tena mtaish vizuri!!!!!
labda ushindwe kumzarisha labda hapo ndo kunaweza kukawa na tatzo.
Mfano umemkuta ana mtoto mmoja haraf wew ukamzarisha watano,,yaan wew lazma utaonekana una nguvu kubwa sana kwake na atakuheshm kuliko hata mzaz mwenzie,,,maana hata watoto wako ndo watakuwa na nguvu kwenye familia!! sasa tatzo liko wap??
Hivi Nyie mnawaonaga hao single mothers Kama Wana akili timamu?Na ilo ndo kosa walokosea hawa wanawake.
Mwanaume mwenzio kamshindwa we utamuweza?daah we acha mkuu sio kama watu wakisema msiwaoe wanawanyanyapaa laa hasha hapana shida wengi wanakuwa si waaminifu
Bado mpaka Sasa hujafanya maamuzi magumu?Juzi wangu ananimbia mimi ni mbahili, alomzalisha anamuhudumia mpaka leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't trust her kk usishangae kabisa endapo atakua ameshasahau fadhira n wema w mshkaji wako.....moreover akawa anajisifia "mie mzuri mpaka mtu anakufa kwa ajili yangu"Huyo kupashana kiporo ni changamoto, ila huyo mwanamke hatakaa kwa amani, laana ya chedi itamtafuna sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasikia mkiongelea single father au wao hawana matatizo kama wengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ahudumii, mwanaume ndo anahudumia. Wanawake wengi si waoga wa kugongewa ila ni waoga wa kuibiwa mume kabisa kwamba asirudi tena, wanaume wengi wanaogopa sana kugongewa hata kidogo tu, wanataka mwanamke awe kama pua, saa zote ni yake anapengea kamasi yeye tu. Kutokana na hayo tegemea povu la wanaume kwa single mothers kuliko upande wa pili. Wanaume tulio huru tuna burudani sana, maana tunajichagulia tutakaye uwe single mom, bikra au ulitoa. Mpo wengi sanaaaaaa kutupa presha.
Pole sana my dia mjukuuππππππ loh!
1/1000kuna ambao wako fair sana tuu...wanajitambua vema sana.......
Ulishaona mwanaume anaiongelea michepuko yake au viporo vyake kwa mkewe?Kwahiyo single dad wapo vizuri sana? Wake zao hawaumizwi na viporo wanavyo pasha nahuko na wazazi wenzao huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa sahihi mkuu.Ulikosea tu mipango.Hukupaswa kuanza kupoteza muda was Bia ungeenda staight to the pointKuna mmoja juzi nimekutana nae viwanja ilikuwa thursday nimemlisha bia mwisho wa siku namwomba tukalale wote akasema haiwzekani maana kesho inabid amuwaishe mtoto wake kupanda school bus...π‘
Elezeni kidogo kuhusu ChedyMabaharia baada ya kuskia kifo cha cheddy ni nduki tuuh kuwakimbia single mama
Sent using Jamii Forums mobile app