Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Mi wa kwangu alikuwa amesajili laini zake kwa kitambulisho cha kijeba kilichomzalisha so kila nikimtumia hela nahisi kama nakitumia hela hiki kijeba.. Nikaona isiwe kesi jikate kila mmoja ashike hamsini zake
[emoji3][emoji3]
 
ukishamzarisha na wew watoto wako haina shida tena mtaish vizuri!!!!!
labda ushindwe kumzarisha labda hapo ndo kunaweza kukawa na tatzo.

Mfano umemkuta ana mtoto mmoja haraf wew ukamzarisha watano,,yaan wew lazma utaonekana una nguvu kubwa sana kwake na atakuheshm kuliko hata mzaz mwenzie,,,maana hata watoto wako ndo watakuwa na nguvu kwenye familia!! sasa tatzo liko wap??
Sasa mpk unamzalisha watoto hao wote utakuwa ushavumilia mengi sana,na kijamaa kilichomzalisha mtoto kitakuwa kishamchezea kitakavyo mpk kikaamua kustafu kwa hiari [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your Mother is your earthly God, listen to her voice

Don't make a promise you can't fulfill...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina hakika tukikaa miaka 5 au 10 tukakuuliza hiki ulichokiandika hapa ulikimaanisha ,,,,hakika utakikana
Mwanamke ahudumii, mwanaume ndo anahudumia. Wanawake wengi si waoga wa kugongewa ila ni waoga wa kuibiwa mume kabisa kwamba asirudi tena, wanaume wengi wanaogopa sana kugongewa hata kidogo tu, wanataka mwanamke awe kama pua, saa zote ni yake anapengea kamasi yeye tu. Kutokana na hayo tegemea povu la wanaume kwa single mothers kuliko upande wa pili. Wanaume tulio huru tuna burudani sana, maana tunajichagulia tutakaye uwe single mom, bikra au ulitoa. Mpo wengi sanaaaaaa kutupa presha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna singo maza namzingua zingua kwa meseji yuko kimya sana hajibu,simu hapokei, anariingaa,kumbe singo maza tu hana lolote
 
Back
Top Bottom