Angalia unapotoa mada kama hii je kwenu pako salama! nadhani una dada,binamu na ndugu lukuki kati yao hamna single mother! mwana ukome kudhalilisha watu hayo ni maisha na mapito yao binafsi.Am not single mom lakini sijapendezwa na hiyo kauli yako acha kufuru kabila hujafa,hujaumbika kijana.
 

Kama nimekuelewa vizuri: Unamaanisha
(i) wanaume wanaotaka kuoa watafute wanawake bikra kwa kuwa bado wana vizibo (hawajanywewa), pia bado wana moyo wa kupenda (kupenda hakujirudii mara mbili).

(ii) Kwa kuwa wanawake bikra ambao hawajapenda ni nadra sana siku hizi, pia wanaume wasio wazembe,wanaojiamini,wasiofuata maslahi,wajanjawajanja fulani hivi na ambao hawakuruka stage katika makuzi yako wako wachache sana.

(iii) KWELI raha ya soda ukute haijaonjwa, je hwa viumbe wasioonjwa (bikra) wapatikanaje ? maana ni adimu sana kwa maadili ya siku hizi.

NB: Nionavyo mimi tofauti kati ya mwanamke aliyeishawahi kuwa kwenye mahusiano (waliokwisha bikiriwa) lakini hajazaa na yule aliyeishazaa ni jukumu la ulezi tu.
 
Ndo tumeshakuwa tofauti....utasema wanaume hawana makosa katika ndoa??kila ndoa inayovunjika basi mkosa ni mwanamke...una uhakika?..na kama mkosa sio mwanamke je akiachwa ndo aonekane hafai?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok kwa hiyo atakae achika huko kama kosa ni la mwanaume basi adondokee kwa wanaume type yenu coz mleta mada kisha categorize wanaume wanao oa singo mom so we chagua tu upo kundi gani[emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiria pale mwanamke anapoolewa halafu baada ya wiki mume akapata ajali akafariki, huyu binti si atakuwa single mama? Je hatofaa kuolewa tena? Kwa nini mnapenda kukejeli sana watu?
Kwan sio singo mama
Ye pia ni singo mama japo ni mjane
Lakin hiyo inatokea mara ngapi/asilimia ngap?
Hiyo ni special case

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aigoooooo[emoji134]
My poor Child mama yako nitasanda mbona

Sent using Jamii Forums mobile app

heeey chillax,jiamini mwanamke na jiheshimu na heshimu mahusiano yako tu!
wako watu watakaoelewa bila shida.hofu kubwa ni nyinyi kupasha kiporo na wazazi wenza wenzenu..ukimuhakikishia mdau kua hilo halipo kwa vitendo utapata uhusiano wa kudumu wenye afya bila shida yoyote!
 
Hivi nyie kina dada lini mtaacha kutania kaka,baba,waume na wajomba zenu kwamba wana vibamia?[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti asioe single mother...puuuh! Na wewe mwanaume mbona ushatumika saana. Una upya gani? Au kwa kuwa wewe mwanaume huzalishwiii?? Pyuuuuuu[emoji57]
shida kubwa ni ile kauli mbiu kuwa ''hawara hatongozwi''....kwenye kukona watoto/mtoto mnakumbushia pia..huo ndo wasiwasi mkubwa haya ya kutumika ni by the way tu!
 
Napinga mkono hoja kuoa single mother ni sahihi sababu unaweza kuoa mrembo alfu ukakuta ni mgumba

nani kasema hakuna single mothers warembo!??wengine hata hutajua kama ana mtoto aspokwambia.
ishu ni tabia ya mtu tu man
 
Salute to all the single mamas. Ukiona mtu anaongea ongea sana kuhusu single mothers ujue kuna issue haiko sawa upande wake. Nakupenda sana wewe single mother. If you do me the honour I'll marry you. [emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipya ni bikira mkuu ukikuta msichana kashafunguliwa njia hamna kipya apo wote ni masingle mother tofauti ni kwamba mmoja watoto wapo hai mwingine amewaua
Afadhali umesema hayo leo maana watu wakizungumza kuhusu umuhimu wa bikra watu wanabisha
Any ways huyu hana bikra af katoa mimba tano
Au huyu hana bikra katoa mimba tano na ni singo mama yupi afadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo alotoa mimba babake ataulizia matunzo?[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umekuta mwanamke hana bikra ni sawa na soda iliyofunguliwa sio lazima awe amezaa..
 
Yaan we ndo umemaliza kabisa ambae hata kuelewa basi atakua either kilaza au mnafiki kiwango cha uzamivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo wanaosemaga vibamia naona wameufyata
Kumbe wana busara hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitoa kauli kama hizi hakikisha wewe ni mgumba maana kama una kizazi Mungu atakuonyesha the real single mothers kwa kutumia binti zako. Tujifunze sana tusi hukumu watu as long as tunataka vizazi vyetu viwe na baraka. Kama unaona single mothers au fathers hawafai piga goti chini uwaombee utabarikiwa tu.
 
Huyo alotoa mimba babake ataulizia matunzo?[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unakwepa matunzo au..?

Hujui kuna wanawake wamezaa na wanajiweza kimaisha na wanao uwezo wakukutunza hata wewe mkwepa matunzo?

Kama ni hivyo mtoa mada angetoa mada yake iki-base kwa wale ambao hutegemea kutunziwa watoto wao na wanaume wanaowaoa wakiwa wana watoto.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Salute to all the single mamas. Ukiona mtu anaongea ongea sana kuhusu single mothers ujue kuna issue haiko sawa upande wake. Nakupenda sana wewe single mother. If you do me the honour I'll marry you. [emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamin sisi wanaume si watu wazuri we utakua kuna singo mama unamfukuzia humu una pretent akinasa amekwisha
Ila kinachonishangaza hii mbinu inawanasa kila siku[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…