Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 246
- 228
π π π πAwajibike kwa mzinifu? Single mama apambane na alomtia mimba huko akija huku anakandwa achanganye mbariga zake.
Mbona comment haiendani na uziwanawake wa sasa wanajitambua hawataki manyanyaso ya wanaume, wanaume wengi wana tabia ya kuona wanawake hawana uwezo kama wao hawawapi uhuru wa kuchangia mawazo yao
Binti kazidi umalaya umri huo angekuwa shule na wewe nwache mwenzako unataka umfanye single maza wa watoto watatuAmezaliwa mwaka 2000 march, amemaliza std 7 2013, aliolewa 2015 akiwa na 15 yrs. Mtoto wa kwanza akamzaa 2016 na mtoto wa pili 2019.
Kama unahisi chai ngoja nije na mkateView attachment 1470350
Apo chacha na mahusiano yanaanzaga kifala sanaHivi mzazi mwenzie na single mother yaani mkeo akimtumia Zawadi ya chakula mkeo imekaaje?
Yaani mfano unaishi Dar na mwanamke wako, mzazi mwenzie yuko Mbeya akamtumia mchele
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la single mamaz...wanaoenda kuwatreat wana kama watoto wao...halafu they are overprotective kwa watoto wao...utazani wameambiwa wewe ni mtoa roho...
Utawasikia ooohh mapenzi ni mimi na wewe huyu mtoto hata hakuhusu...halafu ukicheki kipindi hicho wewe wapo kwako....
OVAAAA
ππππ Duh duh duh masingo maza kazi wanayo leoHii kitu inakera kichizi utaskia mm nampenda mwanangu utafkr akiwa na nyege mwanae atamtomba
Sent using kvant
umemtimua?Yashanikuta hayo mzee baba mwanamke ananipa risala ya kibabe eti wanangu waheshimu Kama unavyoniheshimu nlijihisi vibaya Sana kuwa ananionaje nlichofanya na Mimi nkazaa nae lakini ndoa no
ubinafsi kivipi?Siku hizi pia ma single father kila corner in short kuzaa bila mpengo nikutesa watoto tu. Watu waache ubinafsi
May be aliolewa akiwa na miaka kumi na tano.Hivyo inawezekana Mtoa masimulizi yupo sahihi.Uliposema ana miaka 20 alaf ana watoto wawili then ukaja kusema amekua kwenye ndoa kwa miaka mitano. Ikabidi niishie hapo.
Sometimes huwa sipendi ujinga
Mimi nliambiwa wewe na yule Wote sawa''si nimezaa nae nitaachaje kumkumbuka?''! sitaisahau kauli hii
Wewe una miaka mingapi??.Amezaliwa mwaka 2000 march, amemaliza std 7 2013, aliolewa 2015 akiwa na 15 yrs. Mtoto wa kwanza akamzaa 2016 na mtoto wa pili 2019.
Kama unahisi chai ngoja nije na mkateView attachment 1470350
Basi mboga hiyo ni halali yako.Hawakufunga popote
Wape! Wape!,wape tena.Sisi wanaume ndiyo waoaji, tutaoa mwanamke yeyote tuliyependezwa nae awe single mother au la ,sisi tutaoa mwanamke wa maana.
Wanawake mnawaonea wivu wanawake wenzenu ambao wameshazaa lakini bado wanaolewa na wanaume wengine huku nyie mnaojiita new bland hata mchumba hamna.
Mnawapiga vita bure, wenzenu wanajua mapenzi, wanajua kumhandle mwanaume, kiufupi wanajua mwanaume nini anataka. Hivyo basi sisi tutaendelea kuwaoa bila kujali chuki zenu dhidi yao.
TUTAENDELEA KUWAOA. new brand yako utajua kwa kuipeleka.
Km anampenda je?.Awajibike kwa mzinifu? Single mama apambane na alomtia mimba huko akija huku anakandwa achanganye mbariga zake.
Anaechukiwa machoni na mdomoni ndie anaependwa moyoni
Amani itakuwepo endapo Aliyemzalisha hana time naye.
Amani itakuwepo endapo hampendi aliyemzalisha.
Amani itakuwepo endapo aliyemzalisha ni choka mbaya.
Amani itakuwepo endapo aliyemzalisha anaakili na hapendi kuvuruga mahusiano yenu.
Vingine unajidanganya.
Mimi nimemzisha binti mmoja kutoka kanda ya ziwa. Nikamtelekeza kwa sababu za kiitifaki. Yule mwanamke ameshapata mwanaume mwengine wanaishi wote.
Cha ajabu Mwanamke ndio ananipigia simu akitaka nimcharaze tena. Anasema Mimi ni mzazi mwenzake hivyo anahaki ya kuniomba huduma ya penzi.
Mimi nilishangaa. Nikamwambia sitathubutu kumharibia jamaa aliyekutunzia heshima kwa kufuata hisia zako. Tuligombana sana ati namkatalia kumtooomba.
Yeye ananiita mume wake. Huwezi amini ndoa ile ipo mikononi mwangu. Nikiamua kupasha napasha muda wowote.
Lakini nimekataa huu mwaka wa pili kwa sababu ya heshima yangu kwa mshkaji ambaye hata hivyo simjui.
Hivyo Mkuu, usidhani upo salama sana. Kuna ndoa zinaishi kwa hisani ya Wababa waliozalisha wanawake mliowaoa.
Pia siri zenu zote na mambo yote utakayomfanyia wao wanatuambia. Mfano ni huyu niliyemzalisha. Akiudhiwa kidogo mashtaka lazima ayalete kwangu.
Mimi ndio namtuliza na maneno ya faraja anapoa.
Usicheze na wanawake Boss.
Nitaanzisha Uzi kuwahusu hao single mother. Case study atakuwa niliyemzalisha akaolewa na mtu mwingine.
Hilo alina ubishi, akianza kumaliza shule na karibia kupata kazi baba mzazi anaanza kujisogeza kwa mtoto,Ila asilimia kubwa watoto wakambo unawatumikia lakini mwishowe hukugeuka na kurudi kwa baba zao n
Mweee wajameni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati mwisho wake na mtoto kwenye sebuleni tu,Hii kitu inakera kichizi utaskia mm nampenda mwanangu utafkr akiwa na nyege mwanae atamtomba
Sent using kvant
Duh!!!,sawa bwana.Vipi una mtoto wa Kike?Apambane nae kivyake ila kama ni rafiki yangu na ushikaji unafia hapo siwezi kuwa na mshikaji fala.
unapitia changamoto gani katika malezi?Nina mabaharia tu sita mpaka sasa na kila mmoja ana mama ake