Ona mambo mnayofanya namna yanavyokera hadi wanawake wenzenu waliopo katika ndoa wanaamua ni heri wawauwe tu ili kuwapunguza maana sio tu kero kwa wanaume bali hadi kwa wanawake wenzenu.....
 
Hebu niambie ni zama gani mwanamke alikuwa anabishana na mwanaume anapofanya maamuzi ya familia tukiachia hii ya sasa?!

Mwanaume anachotaka kwa mwanamke ni kusikilizwa, kushauriwa na utii. Hakuna mwanamke anayeamsha nguvu za kiume kama mwanamke mtii. Hii kila siku tunasema hawasikii.....

Sasa tazamia namna jamii inavyomomonyoka sababu ya wanawake kukosa utii.

Ukifuatilia wanawake wengi, mimba zao ni matokeo ya kutegeshea ili wawashike akili hao wanaume ndio maana wengi wamekimbia.

Sasa tangu lini ukamcontrol mwanaume akili......?!
 
Kwanini mwanaume uumizwe na single mother huoni kuwa una matatizo mwenyewe unahitaji tiba ya kisaikolojia. Kufatilia tu single mother wakati wewe si mwanamke naona Kuna shida somewhere, hivi hamna kazi kweli?.
Wanaume wasiojielewa kutwa kuhangaika na Mambo ya wanawake, waachieni wakae kwanza sifa ya mwanamke ni kuzaa.
 
na bahati mbaya mimi sio single maza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfoko haujanistua
Safi kaa huko huko na MUNGU akulinde na abariki uzao wako usije ingia hili kundi na kizazi chako chote
 
Naomba Uzi ufungwe umemaliza kila kitu.
 
Mngekuwa mpo sayari nyingine tungewakaushia. Ila sasa mpo humu humu.

Hamjui nyie ni miongoni mwa gharama ya serikali kupitia mifuko ya tasaf, mikopo isiyo na riba ambayo hairejeshwi.

Kwakifupi kodi zetu kama wananchi zinatakiwa kusaidia makundi maalumu yanayohitaji msaada kweli kama walemavu, wazee na watoto ila sio wanawake walio single hiyo ndio ina sababisha tuwafokee.

Kama wewe hapa unaongea hivi kwa ubishi kama sio single mother basi utakuwa unaelekea huko GOD forbid.
 
Hawa masingo maza mtawauea haki ya nani sijui kama wanaishi kwa amani wakiingia kwenye jukwaa hili
 
Tutahakikisha hiki ndio kinakuwa kizazi chao cha mwisho, huu upuuzi hautaendelea kwa watoto, wajukuu, vitukuu, vining'ina na vilembwe vyetu miaka ijayo.... .....
Jamaa wameunganisha uzi,,, ila ukweli uko palepale masingo maza wakongwe wanawashawishi mabint wadogo nao wawe masingo maza na kuwajaza ujinga kuwa wanaweza kuish bila kutegemea mwanaume lakin ukweli utabak palepale hata uwe na pesa ila pesa siyo kila kitu... Na wanawadanganya mabint wadogo ili aibu iwe ya wengi
 
Hivi hii inatuhusu na sisi wanawake ambao hatuna mpango wa kuwa na waume wala watoto? Yaani solo riders till we die!
 
Mkuu hii hoja yako nakubaliana nayo kwa [emoji817] , Tuna wanawake wanao hitaji cancelling kubwa Sana ,huu umagharibi unawaharibu kila uchwao ,... Kiburi,jeuri na ujuaji ...vinawapoteza kwenye ramani , na kitambo sio kirefu mitaa itawazimia data

One love
 
Kabisa mkulungwa
 
Hivi hii inatuhusu na sisi wanawake ambao hatuna mpango wa kuwa na waume wala watoto? Yaani solo riders till we die!
My love, unataka kunambia hadi sasa unaishi bila kufanya mapenzi?!
 
Hawa moderators nina wasi wasi nao sana hawa jamaa pengine ni watu wa CCM maana ndio wanakuwa na mambo ya kipuuzi hivi. Sasa wanaunganisha uzi hivi ili watu wasichangie na huyu aliyeunganisha unaweza kuta ni single mother sasa hataki uovu wao uonekane..... Wanakera sana.......
 
Nilishawahi nunua Fanta Orange ikiwa imefungwa vile vile

nikawa naifuta na tisssue ili kuondoa yale maji maji ya ubardi

wakat naifuta taratbu nkaigeuza nikaona soda ndani ina uchafu kbsaaaa

ikabd niangalie kizibo kipo wazi au lah nikakuta kimekaza kabisa hakijafunguliwa.

Tangu siku ile sinywi kinywaji chchte kinachotoka kiwandani kilicho kwenye package opaque.

Back to Topic :

Usiamini soda hata kama wewe unaiona haijafunguliwa,siku hz kuna queens of blow jobs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…