SUBIRI NA WA KWAKO AZAE, WENZAKO WATAMLA KITANDANI MWAKO.......mjinga sana wewe
 
Single mama nawapenda Sana halafu ndo wazuri kuwaoa kuliko ambao hawajazaa. Wakiingia kwenye ndo huwa watulivu na wasikivu Sana. Ukimuona niunganishe nae,.
N.B Huyo dada wa miaka 33 au umri wowote ule hajazaa usije ukajinai nae wengi huwa ni mama wa marehemu wa watoto wengi Sana.
 
Tunza akiba ya maneno mdogo wangu.

1. Ukimuoa huyo ambae hajazalishwa akazaa mtoto wa kwanza nae utamu utaisha? Atageuka mzee hapo hapo?

2. Unahisi wote walipenda kuzalishwa bila kuolewa.?
Nihali yakawaida sana wengine niwemependa kabisa, kuingia kwenye mambo ya ndoa sio ndoto ya kila mtu.
Ni 2020 nasio mwaka 1961 mambo yamebadilika sana
 
Nani alikudanganya akizaa inaisha utamu? Kumbe ukioa ambae hajazaa then akazaa utamu unaisha😂😂
Ila sishangai maana umesema ni mitazamo yako binafsi, ....
 
Tunza akiba ya maneno mdogo wangu.

1. Ukimuoa huyo ambae hajazalishwa akazaa mtoto wa kwanza nae utamu utaisha? Atageuka mzee hapo hapo?

2. Unahisi wote walipenda kuzalishwa bila kuolewa.?
Maneno ya BUSARA haya

Mwenye masikio na asikie.
 
Sijui tatizo linaanzia wapi kwenye malezi?

Au ukosefu wa maisha ya imani?

Kwanini watu hawaithamini miili yao yenye thamani kubwa sana?

Kwanini mtu awe rahisi kuutoa mwili wake kulalwa?

Je swala la risk kiafya na magonjwa yasiyo na tiba vipi?

Yani kama vile hakuna ukimwi!

Mnataka Mungu afanye nini zaidi?

Kwanini ionekane ni kawaida binti kuwa na boyfriend?

Kwanini vijana wa kiume msisubiri ndoa?
 
Binti unakubalije kulalwa na Mwanaume ambaye hujaenda kupima nae ukimwi?

Maana kama umepata mimba vipi kuhusu virusi vya ukimwi?

Turudi kwenye misingi ya maadili mema na maisha ya imani.

Watoto wasiangalie kila kipindi cha kwenye TV,
Tuwawekee restrictions.

Na sisi wazazi tumjue Mungu, tushike Mafundisho!

Mienendo yetu iwe mfano watoto wafuate nyayo
 
Wazazi wa siku hizi wenyewe wamepinda!

Wanavalisha watoto nguo juu ya magoti tangu utoto.

Binti mkubwa unakuta kavaa kimini au kibukta juu ya magoti mabaja nje!

Eti uzungu!

Mtoto anaenda kuoga binti anaenda na kitaulo juu ya magoti mapaja na kifua nje!

Malezi mabovu na kutaka mtoto asionywe maana unampenda sana!

Mchuma janga hula na wakwao!

Kuna watu wamepoteza watoto kwa malezi ya kuwapa starehe kupindukia!
 
upumbavu mwingine muwe mnauficha majumbani mwenu, kwa hiyo dada zako, mama zako walipozalishwa waliishiwa utam? fikra potovu za namna hii hebu tuziacheni.
 
JIANDAE NA MASHAMBULIZI TOKA SIDE B!🤣🤣🤣
 
aisee tunafanana kifikra,
bora nipige puli kuliko nigegede KE aliyezaa

kitendo cha pale kati kupita mtoto tayari kwisha habari yake
 
Nina mjomba wangu anaishi Kimara tunavyozungumza hivi sasa amekimbiwa na mkewe pamoja na familia na sasa hivi mkewe anaishi mkewe kigamboni na mwanaume wa zamani ambae story chini ya kapeti tunazozisikia

Huyu mjomba wangu amebahatika kuzaa watoto wawili wa huyu mama lakini huyu mama kabla ya ndoa alimkuta na mtoto mmoja ambae hakuzaa nae Alizaa na mwanaume mwingine lakini mjomba licha ya Kumkuta na mtoto alimpenda hivyo hivyo na ndoa wakafunga maisha yao yote waliishi pamoja lakini mwisho wametengana siku za hivi KARIBUNI

Na chanzo cha kutengana Kwao hakijajulikana ila mjomba amekuwa akilalamika tangu ayumbe kiuchumi mkewe amekuwa hamuelewi elewi lakini finally wameachana mkewe saivi anaishi sehemu nyungine na mwanaume mwingine ambaye inasemekana ni mwanaume wake wa mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…