Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Hapo vip!!
Binafsi nimekuwa nikiwaacha wanawake ambao wameshazalishwa na ambao hawajaolewa..nina mitazamo ifuatayo juu ya hawa watu.
Mimi nikimuona mwanamke ambaye ameshazalishwa na hajaolewa hata akiwa na miaka 18 na amezalishwa na muona ni mzee kuliko mwanamke mwenye miaka 33 na ambaye bado hajazalishwa.
Pili naona nikimuoa mwanamke ambaye ameshazalishwa nahisi kama namuoa mke wa mtu.
Tatu,mwanamke alizalishwa naona kama utamu umepungua kuliko huyu ambaye bado hajazalishwa.
Nakaribisha mitazamo tofauti na yangu.
SUBIRI NA WA KWAKO AZAE, WENZAKO WATAMLA KITANDANI MWAKO.......mjinga sana wewe