Mkuu utakuwa mwathirika si kwa povu hili..!Eti asioe single mother...puuuh! Na wewe mwanaume mbona ushatumika saana. Una upya gani? Au kwa kuwa wewe mwanaume huzalishwiii?? Pyuuuuuu[emoji57]
Mimi nataka mwenye mtoto tayari kama unaye ukuje fasta pm..![emoji125][emoji125]natafuta mpenzi...[emoji4]
Huwezi kuprove haya are only illusions kuwatia moyo single mazas siyo kila msichana katoa mimba..!Halafu hao ambao mnawaita ndo wapya mnajua background zao? Washatoa mimba kama utiriri huko nyuma! Washatumika zaisi ya mara elfu tena na wanaume tofauti[emoji57]. Halafu wewe unawakashfu single mothers. Nyooo..kafie mbele huko. Mfyuuuu[emoji9][emoji9]
Kuoa msichana ambae ameshachoropoa mimba zaidi ya 6 bila kujijua ni sawa na kulala na single mother muuaji kitanda kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana mama zangu mliozalishwa na kuachwa akiwemo mama yangu aisei..!Huenda hata mama yako alikuwa in single mother babaako angeona hivyo,hata Ww usingezaliwa ,lkn kwa mwanaume umejitahidi japo sijajua kazi yako ,mwanaume WA awamu yatano unapata wapi muda WA kutafiti mambo ya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu anayependa ukoko ama kiporo.....ni dhiki tu
nini hivi?Hata mimi siwezi kuvaa viatu kukuu na wakati vipya vipo...kwani nimemkosea nini Mungu...........
Its true kuna complications nyingi kuoa single mothers,patia picha unasikia mkeo anazungumza na mwanaume aliyezaa nayeNimemuelewa sana mtoa mada. Kuna complications za kuoa mwanamke alokwisha zaa, kwa maana kwamba bado atawasiliana tu na baba wa mtoto even if mtakua pamoja, Mtoto ataendelea kuwakutanisha na kama ujuavyo wanawake walivyo dhaifu ni rahisi pia kukumbushia. Pia kuna complication za malezi ya mtoto tuwe wakweli guyz huwezi mpa malezi yale mtoto wa mwanaume mwenzio akati unajua kabisaa baba yake yupo somewhere anakula bata wewe uhenyeke na maskuli fiz.
Mtoa mada kaona mbali kwa nini uingie kwenye makomplikesheni hayo akati kuna ryt desisheni ya kufanya?
Acha masingo maza waolewe na masingo faz.
Sirudiii tenanini hivi?
Hayo ni mawazo ya kitumwa kuamini kuna kitu kinalogeka!Vizuri mganga wa ukoo tumloge nini huyu mtoto?
nilipokuwa nahangaika na kuoa miaka kadhaa iliyopitia nilikutana na hali hii.Poleni sana mama zangu mliozalishwa na kuachwa akiwemo mama yangu aisei..!
Kinachonitia shaka ni kuongezeka sana kwa wamama wa namna hii sijajua shida iko wapi nadhani mtazamo wa hivi waweza kupunguza kasi hii wadada zetu please jitahidi kujirahisisha..!
Pambana na hali yako tu mama..!nashauri hizi topic za single mother ziwe sticky.mnatusumbua bure.
School fees ndo umeona cha maana vp huyo ambaye sio single mother, mbona unasomesha sana mashemeji ila hujioni, hakuna upande wenye faida usiokuwa na hasara. Change in one variable may affect another......Yaan we ndo umemaliza kabisa ambae hata kuelewa basi atakua either kilaza au mnafiki kiwango cha uzamivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana na hali yako..?
Ujamwelewa ama???nini hivi?