Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Eti asioe single mother...puuuh! Na wewe mwanaume mbona ushatumika saana. Una upya gani? Au kwa kuwa wewe mwanaume huzalishwiii?? Pyuuuuuu[emoji57]
Mkuu utakuwa mwathirika si kwa povu hili..!

Ila wapo wengine wanajielewa ingawa wachache sana..!
 
Halafu hao ambao mnawaita ndo wapya mnajua background zao? Washatoa mimba kama utiriri huko nyuma! Washatumika zaisi ya mara elfu tena na wanaume tofauti[emoji57]. Halafu wewe unawakashfu single mothers. Nyooo..kafie mbele huko. Mfyuuuu[emoji9][emoji9]
Huwezi kuprove haya are only illusions kuwatia moyo single mazas siyo kila msichana katoa mimba..!
Kuoa msichana ambae ameshachoropoa mimba zaidi ya 6 bila kujijua ni sawa na kulala na single mother muuaji kitanda kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda hata mama yako alikuwa in single mother babaako angeona hivyo,hata Ww usingezaliwa ,lkn kwa mwanaume umejitahidi japo sijajua kazi yako ,mwanaume WA awamu yatano unapata wapi muda WA kutafiti mambo ya ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana mama zangu mliozalishwa na kuachwa akiwemo mama yangu aisei..!

Kinachonitia shaka ni kuongezeka sana kwa wamama wa namna hii sijajua shida iko wapi nadhani mtazamo wa hivi waweza kupunguza kasi hii wadada zetu please jitahidi kujirahisisha..!
 
"Kinachonitia shaka ni kuongezeka sana kwa wamama wa namna hii sijajua shida iko wapi nadhani mtazamo wa hivi waweza kupunguza kasi hii wadada zetu please jitahidi kujirahisisha..![/QUOTE]"

Mkuu, shida ni mfumo. Maana mtu anampa mimba mwanamke halafu anasepa tu, hata baadhi ya wanyama dume wanatunza watoto wao.

Wanaume waliozaa na kutelekeza watoto wao ingebidi wachangie fedha za kutunza watoto wao. Serikali ingeweka mfumo wa kuzikusanya hizi pesa kwa ajili ya matunzo ya mtoto, kama ilivyo huku ulaya na huko marekani.

Ikumbukwe ya kuwa binadamu ni VERY FERTILE, wanawake nane kati ya kumi hupata mimba baada ya kugegedana bila kinga kwa mwaka mmoja, na huyo albaki naye atapata mimba si zaidi ya miaka miwili.
 
Hata mimi siwezi kuvaa viatu kukuu na wakati vipya vipo...kwani nimemkosea nini Mungu...........
 
Nimemuelewa sana mtoa mada. Kuna complications za kuoa mwanamke alokwisha zaa, kwa maana kwamba bado atawasiliana tu na baba wa mtoto even if mtakua pamoja, Mtoto ataendelea kuwakutanisha na kama ujuavyo wanawake walivyo dhaifu ni rahisi pia kukumbushia. Pia kuna complication za malezi ya mtoto tuwe wakweli guyz huwezi mpa malezi yale mtoto wa mwanaume mwenzio akati unajua kabisaa baba yake yupo somewhere anakula bata wewe uhenyeke na maskuli fiz.
Mtoa mada kaona mbali kwa nini uingie kwenye makomplikesheni hayo akati kuna ryt desisheni ya kufanya?
Acha masingo maza waolewe na masingo faz.
Its true kuna complications nyingi kuoa single mothers,patia picha unasikia mkeo anazungumza na mwanaume aliyezaa naye
 
Poleni sana mama zangu mliozalishwa na kuachwa akiwemo mama yangu aisei..!

Kinachonitia shaka ni kuongezeka sana kwa wamama wa namna hii sijajua shida iko wapi nadhani mtazamo wa hivi waweza kupunguza kasi hii wadada zetu please jitahidi kujirahisisha..!
nilipokuwa nahangaika na kuoa miaka kadhaa iliyopitia nilikutana na hali hii.
kati ya wanawake 7 ambao niliingia nao uhusiano nikiexpect kuja kuzaa ndoa 5 walikuwa wana watoto. nikajikuta nahama kutoka hapa kwenda kwingine.
wameongezeka kwa kasi sana na ndio ndoa zinazoendelea kufungwa siku hizi. wapo wanaodumu na dnoa zao ila wapo wanaokumbuka misri na kusababisha mushkeli kwenye ndoa zao.
 
Yaan we ndo umemaliza kabisa ambae hata kuelewa basi atakua either kilaza au mnafiki kiwango cha uzamivu

Sent using Jamii Forums mobile app
School fees ndo umeona cha maana vp huyo ambaye sio single mother, mbona unasomesha sana mashemeji ila hujioni, hakuna upande wenye faida usiokuwa na hasara. Change in one variable may affect another......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom