Asilimia kubwa hako hivi, hata hujakosea hata kidogo.Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k.
Kwanza wanaume wanalea mno watoto wa wanaume wenzao bila wao kujua michepuko ni veepe!!School fees ndo umeona cha maana vp huyo ambaye sio single mother, mbona unasomesha sana mashemeji ila hujioni, hakuna upande wenye faida usiokuwa na hasara. Change in one variable may affect another......
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua natania bro kumbe hee!!Hayo ni mawazo ya kitumwa kuamini kuna kitu kinalogeka!
Kwani single mother wote maskini? Sasa mimi nataka nizae na mwanaume choka mbaya kapuru hlf asiwe anaulizia habari yoyote kuhusu mtoto mimba ikiingia tuu asinizoee na hivi kale ka utafiti ka akili mtoto anachukua kwa mama ahsante sanaAsilimia kubwa hako hivi, hata hujakosea hata kidogo.
Halafu wanaume wengi siku hizi wameingia kwenye mtego wa kuoa ukoko, makombo na viporo kwa kujifariji eti;-
Huwezi kulinganisha kusomesha mashemeji na kusomesha mtoto wa mume mwenzio aliyewahi kumega unapomega. Mtoto wa dume lililotangulia kumega unapomega linaumiza moyo na nafasi.School fees ndo umeona cha maana vp huyo ambaye sio single mother, mbona unasomesha sana mashemeji ila hujioni, hakuna upande wenye faida usiokuwa na hasara. Change in one variable may affect another......
Sent using Jamii Forums mobile app
Je wale watoto mnaoletewaga ndani ya ndoa dume lenzio nje linaambiwa mme wangu simpendi natamani wewe ndio unipe mimbaHuwezi kulinganisha kusomesha mashemeji na kusomesha mtoto wa mume mwenzio aliyewahi kumega unapomega. Mtoto wa dume lililotangulia kumega unapomega linaumiza moyo na nafasi.
Hapo mumewe anakuwa hajui. Ishu ni kujua. Ndiyo maana mume akibaini ujinga huo ndoa inayeyuka. So ndiyo maana hata vipimo vya DNA vinakuwa discouraged ili kulinda ndoa? Kwamba wanaume wakiujua ukweli wanasepa.Je wale watoto mnaoletewaga ndani ya ndoa dume lenzio nje linaambiwa mme wangu simpendi natamani wewe ndio unipe mimba
Rahabu unapomuoa ambaye hajazaa unakuwa hujui timbwili lake ni lipi. Lkn huyu singo mama unapomuoa unakuwa tayari ushakaribisha moja ya matimbwili yake kama vile kumegwa na mzazi mwenzie, kukorofishana kwasabb ya mtoto.Hakuna kitu kama hicho unaeza oaalir bikra kabisa ila humor ndanikukawa na tibwili si la kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahHahahaaa wacha kujifariji mkuu kumegewa hakuna nyakati na sometimes hakuna sababu maalum omba mungu akupe mke mwema tuu wa kuendana nae msikilizane muishi kwa amani achana na past yakeHapo mumewe anakuwa hajui. Ishu ni kujua. Ndiyo maana mume akibaini ujinga huo ndoa inayeyuka. So ndiyo maana hata vipimo vya DNA vinakuwa discouraged ili kulinda ndoa? Kwamba wanaume wakiujua ukweli wanasepa.
Sasa single mama ameubeba ukweli kuwa alimegwa mara kadhaa na jamaa mpk akabeba mimba kisha akazaa mtoto.
Hapana mkuu, kwa mwanaume ni kawaida na ndiyo heshima. Tumesoma ktk vitabu vya dini habari za mfalme Suleiman kwamba alikuwa na wake 700 na vimada 300. Angalia akina king Mswati. Robert Mugabe kamzidi mkewe miaka 43 (manake ni kwamba umri wa Grace Mugabe in mdogo kwa ule was mtoto wa 1 wa Mugabe), n.k.Kuolewa na mwanaume mwenye mtoto ni sawa na kukuta shamba lishalimwa wewe uende ukapalilie afu useme lako akat mwenyew alipanda anasubr kuvuna..... Uzuzu ty
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ujinga pia kuolewa na single parent lazima wawe wanaenda kumegana na huyo mama mtoto kuolewa na mwanaume mwenye watoto labda nikiwa sijiwezi kimaishaHapana mkuu, kwa mwanaume ni kawaida na ndiyo heshima. Tumesoma ktk vitabu vya dini habari za mfalme Suleiman kwamba alikuwa na wake 700 na vimada 300. Angalia akina king Mswati. Robert Mugabe kamzidi mkewe miaka 43 (manake ni kwamba umri wa Grace Mugabe in mdogo kwa ule was mtoto wa 1 wa Mugabe), n.k.
Kifupi ni kwamba mwanaume ambaye anaishi na mkewe tu halafu hachepuki ana matatizo
Nimesema asilimia kubwa, we unageneralise 'wote' pole kama umeguswa.Kwani single mother wote maskini? Sasa mimi nataka nizae na mwanaume choka mbaya kapuru hlf asiwe anaulizia habari yoyote kuhusu mtoto mimba ikiingia tuu asinizoee na hivi kale ka utafiti ka akili mtoto anachukua kwa mama ahsante sana