Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Moja ya falsafa zangu ni kuwa; "ukizaa na mwanamke hata usipomuoa ujue huyo ni mpenzi wako wa kudumu."

Ukioa mwanamke ukakuta ana watoto watau jua ana wapenzi wake wa kudumu watatu wa kudumu, hivyo basi ni uchaguzi wako kupanga foleni kwa wanaume watatu na wewe ukiwa wa nne au utafute asiye single mother angalau uwe na uhakika hata akikusaliti ila anayetoka si mpenzi wake wa kudumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia kubwa hako hivi, hata hujakosea hata kidogo.
Kwani single mother wote maskini? Sasa mimi nataka nizae na mwanaume choka mbaya kapuru hlf asiwe anaulizia habari yoyote kuhusu mtoto mimba ikiingia tuu asinizoee na hivi kale ka utafiti ka akili mtoto anachukua kwa mama ahsante sana
 
Nakubaliana na mtoa mada sabab sijaona points zozote za wadada humu kukanusha.

Utetezi wao wengi ni nje ya mada.

Japo nikikuta mtt mkali single mom napita nae ila sio ndoa.
 
NI BIFU KATI YA WANAOMILIKI SINGLE NA WASIO NA SINGLE

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wanaume wengi siku hizi wameingia kwenye mtego wa kuoa ukoko, makombo na viporo kwa kujifariji eti;-
-kipenda roho hula nyama mbichi
-hata ambao hawajazaa washatoa mimba kibao

Huku ni kupingana na uhalisia. Hebu wewe mwanaume kaa chini iulize dhamiri yako, kweli mdada ambaye ni 24 hana mtoto ni sawa na yule ambaye ni 24 na watoto 2 ama 1....!!?

Kwanini uingie kulima shamba lililochoka na unaona kabisa limechoka? Mwenye akili anatafuta shamba ambalo linaonekana lina rutuba.
 
School fees ndo umeona cha maana vp huyo ambaye sio single mother, mbona unasomesha sana mashemeji ila hujioni, hakuna upande wenye faida usiokuwa na hasara. Change in one variable may affect another......

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kulinganisha kusomesha mashemeji na kusomesha mtoto wa mume mwenzio aliyewahi kumega unapomega. Mtoto wa dume lililotangulia kumega unapomega linaumiza moyo na nafasi.
 
Huwezi kulinganisha kusomesha mashemeji na kusomesha mtoto wa mume mwenzio aliyewahi kumega unapomega. Mtoto wa dume lililotangulia kumega unapomega linaumiza moyo na nafasi.
Je wale watoto mnaoletewaga ndani ya ndoa dume lenzio nje linaambiwa mme wangu simpendi natamani wewe ndio unipe mimba
 
Je wale watoto mnaoletewaga ndani ya ndoa dume lenzio nje linaambiwa mme wangu simpendi natamani wewe ndio unipe mimba
Hapo mumewe anakuwa hajui. Ishu ni kujua. Ndiyo maana mume akibaini ujinga huo ndoa inayeyuka. So ndiyo maana hata vipimo vya DNA vinakuwa discouraged ili kulinda ndoa? Kwamba wanaume wakiujua ukweli wanasepa.

Sasa single mama ameubeba ukweli kuwa alimegwa mara kadhaa na jamaa mpk akabeba mimba kisha akazaa mtoto.
 
Hakuna kitu kama hicho unaeza oaalir bikra kabisa ila humor ndanikukawa na tibwili si la kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Rahabu unapomuoa ambaye hajazaa unakuwa hujui timbwili lake ni lipi. Lkn huyu singo mama unapomuoa unakuwa tayari ushakaribisha moja ya matimbwili yake kama vile kumegwa na mzazi mwenzie, kukorofishana kwasabb ya mtoto.
 
Hapo mumewe anakuwa hajui. Ishu ni kujua. Ndiyo maana mume akibaini ujinga huo ndoa inayeyuka. So ndiyo maana hata vipimo vya DNA vinakuwa discouraged ili kulinda ndoa? Kwamba wanaume wakiujua ukweli wanasepa.

Sasa single mama ameubeba ukweli kuwa alimegwa mara kadhaa na jamaa mpk akabeba mimba kisha akazaa mtoto.
HahahHahahaaa wacha kujifariji mkuu kumegewa hakuna nyakati na sometimes hakuna sababu maalum omba mungu akupe mke mwema tuu wa kuendana nae msikilizane muishi kwa amani achana na past yake
 
Kuolewa na mwanaume mwenye mtoto ni sawa na kukuta shamba lishalimwa wewe uende ukapalilie afu useme lako akat mwenyew alipanda anasubr kuvuna..... Uzuzu ty

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, kwa mwanaume ni kawaida na ndiyo heshima. Tumesoma ktk vitabu vya dini habari za mfalme Suleiman kwamba alikuwa na wake 700 na vimada 300. Angalia akina king Mswati. Robert Mugabe kamzidi mkewe miaka 43 (manake ni kwamba umri wa Grace Mugabe in mdogo kwa ule was mtoto wa 1 wa Mugabe), n.k.

Kifupi ni kwamba mwanaume ambaye anaishi na mkewe tu halafu hachepuki ana matatizo
 
Ni ujinga pia kuolewa na single parent lazima wawe wanaenda kumegana na huyo mama mtoto kuolewa na mwanaume mwenye watoto labda nikiwa sijiwezi kimaisha
 
Kwani single mother wote maskini? Sasa mimi nataka nizae na mwanaume choka mbaya kapuru hlf asiwe anaulizia habari yoyote kuhusu mtoto mimba ikiingia tuu asinizoee na hivi kale ka utafiti ka akili mtoto anachukua kwa mama ahsante sana
Nimesema asilimia kubwa, we unageneralise 'wote' pole kama umeguswa.
 
Back
Top Bottom